Zitto Kabwe: Wanasiasa wa Tanzania ni wanafiki

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Mh. Kabwe aliwahi kusema tusiwaamini wanasiasa hata wale wa chama chake.

Leo tunashuhudia ndoa kufungwa baina ya CHADEMA na vyama vingine ili kupambana na CCM.

Poor CHADEMA poor M4C, acheni unafIki ninyi kina Mbowe,Slaa na Tundu Lissu hamuwezi siasa ila unafiki na kazi zenu.
 
Mh zz kabwe aliwahi kusema tusiwaamini wanasiasa ht wale wa chama chake

leo tunshuhudia ndoa kufungwa baina ya chadema na vyama vingine vinavyoitwa ccm b na ccm c ili kupambana na ccma............

Hhahahahaaaaa poor chadema poor m4c acheni unafki nyinyi kina mbowe,slaa na tundu lissu hamuwezi siasa ila unafki na umburula na kazi zenu

zitto alisema kitu anachokijua kwa vile ndani ya chama chake unafiki ni mkubwa sana.
 
CHADEMA waliwatukana sana CUF walipoungana na CCM kule ZNZ,,PIA WALIMSHAMBULIA SANA Mh mbatia alipoteuliwa kuwa mbunge,,,pia lissu alijaribu kuikashfu znz ktk mchakato wa katba halafu leo wanajifanya wanaitetea znz ktk katiba

shame on them CHADEMA
 
Cdm miishio yake si mizuri,wao wanawaza dola tu, kupata kwa njia yoyote.
 
Ni sawa na kusema kuwa chadema imejiunga na ccm;
Hapo ndo mwisho wa vyama vya upinzani,
wote wameamua kumfuata Mamndenyi ccm.
 
Last edited by a moderator:
nalazima kuagiza ugali kwa tembele kwanza then nikanunue chumvi bila hiyo msosi hauliki jamani naomba munielewe
 
Mmemuingiza choo cha kike balozi wa china lazima wamtie kitanzi kwao.

====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
 
Mh zz kabwe aliwahi kusema tusiwaamini wanasiasa ht wale wa chama chake

leo tunshuhudia ndoa kufungwa baina ya chadema na vyama vingine vinavyoitwa ccm b na ccm c ili kupambana na ccma............

Hhahahahaaaaa poor chadema poor m4c acheni unafki nyinyi kina mbowe,slaa na tundu lissu hamuwezi siasa ila unafki na umburula na kazi zenu

mmmh,,kila mtu ana fikra zake
 
ewe kizazi cha ukoo wa panya acha propaganda zako za kujaribu kumchafua Zitto kisiasa.
 
Mh zz kabwe aliwahi kusema tusiwaamini wanasiasa ht wale wa chama chake

leo tunshuhudia ndoa kufungwa baina ya chadema na vyama vingine vinavyoitwa ccm b na ccm c ili kupambana na ccma............

Hhahahahaaaaa poor chadema poor m4c acheni unafki nyinyi kina mbowe,slaa na tundu lissu hamuwezi siasa ila unafki na umburula na kazi zenu

SWALI:
Kama umoja wa vyama hivi hauna madhara kwa CCM kwanini viongozi wa ccm na watetezi wake mnatumia nguvu kubwa kuukosoa na kuupinga??
mnaogopa nini hasa???
 
CHADEMA waliwatukana sana CUF walipoungana na CCM kule ZNZ,,PIA WALIMSHAMBULIA SANA Mh mbatia alipoteuliwa kuwa mbunge,,,pia lissu alijaribu kuikashfu znz ktk mchakato wa katba halafu leo wanajifanya wanaitetea znz ktk katiba

shame on them CHADEMA

Ivi kweli unaweza kufananisha sera na masuala ya katiba? au ni ulimbukeni wa kupost comment?
 
chadema mmechemka sana,,na huo ndo mwisho wenu......hamna mlijualo kazi ni unafki tu....SASA mshaolewa na CUF nanyi mmekuwa CCM D au sio mburulazzz nyie
 
Ivi kweli unaweza kufananisha sera na masuala ya katiba? au ni ulimbukeni wa kupost comment?

toka lini mliwapenda wazanzibar!? Tena hasa hasa waislamu? Mara zote coments zenu humu jamvini kuhusu zbar na waislamu kwa ujumla ni za kutia kichefuchefu! Leo hii wamekuwa wazuri ghafla! Nia yenu sasa muungwe mkona kwa muda tu ili yenu yapite kisha mrudi kulekule kuwatukana wa znbar! Mi nawahakikishia, wamewashtukia na matusi yenu! Nyie mlisema mnaweza kusimama kwa miguu yenu leo vipi mnaomba poo!? Mtakijua joto la wa zbar sasa na dharau zeni! Eti ooo, hili ni swala la katiba na sio sera! Ha! Naamini methali ya wahenga,"Baniani mbaya kiatu chake dawa"
 
Hili linajulikana sana muda mrefu kwamba wanasiasa wa Tanzania ni wanafiki na wanafahamika.
 
Back
Top Bottom