Recent content by Mchebe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tanga Sirudi Tena...

    I get something. But hii ni stor about. Imekuwa kama bongo movie.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Habarini za saa hizi. Nimeistall YTD kwenye computer flan yenye window xp spack2,cha ajabu ni kwamba haiwezi kudowload inaandika fail. Lkn me ndio na tumia kwenye machine yangu yenye win 7 ultimate. Tatizo nn. Msaada tafadhali.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya watu wa aina hii hudumu mpaka kifo kitakapowatengenisha...!

    Safi. Lakini ingependeza zaidi kama ungetumia kam mfano au tafsida, ileta maana sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania natafuta...

    Huna akili wewe. Mambo mengine wala sioni haja ya kuandika humu. Huo ni ushamba na ulimbukeni, pia nina wasiwasi na education level yako.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaodharau watu soma hapa

    Ki ukweli inafundisha lakini hizo ni stor about
  6. M

    JamiiForums Tanzania Laptop haiboot kabisa

    Peleka kwa fundi baba. Sasa ww utaiforce vp kuzima kwa huld start button wakati kuna process za kufuata.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naanza vizuri lakini sinaga mwisho mzuri

    dah! Jamaa angu nahc ujanielewa hiyo concept yangu. Nikwamba kutongoza naweza but i dont have a good conculution, thats over. Sasa kwann nisimshauri katika part hiyo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mama yangu anamtaka mchumba wangu

    mmh! Inawezekana lakini me sina uhakika. Ngoja nijaribu kumdadic tena then nitale feedback tena. thnx
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mama yangu anamtaka mchumba wangu

    Ishu nikwamba, yeye hana access ya kuingia humu. Ila ukiniambia ujumbe utakuwa umefika> The boss
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naweza, najua lakini sijiami.

    Mmmh! Ok, let me I m try tuone itakuwaje. Thanks
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mama yangu anamtaka mchumba wangu

    Naombeni mchango wenu wana jf ili niweze msaidia huyu rafiki yangu. Anaitwa jane ni rafk yangu yapata miezi 5. Lakini juzi amenistajabisha aliponipa habari hii ya kusisimua, "mama yangu anamtaka mchumba wangu". Nilistuka sana kusikia hivyo. lakini nilijaribu kumuuliza yeye anaushaidi gani kuhusu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naweza, najua lakini sijiami.

    Mh! Nimekusoma somoe
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naweza, najua lakini sijiami.

    Thanx real deal kwa ushauri wako mzuri nimepata kitu kigeni toka kwako thanks
  14. M

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu inazimika

    Mwanangu piga window mpya ndio solution ya tatizo lako. Otherwise piga blower machine yako huenda fan ya kwnye processor imeingia vumbi. Kwa hiyo aizunguki ipasavyo, prcssor inapata heat xana wakat wa kuprocess data. So ndio maana inazimaga.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naanza vizuri lakini sinaga mwisho mzuri

    Daah! Kuna wengine nahic wameanz nifkiria vibaya, naomba niseme hiv. "ku DO naweza, tena naweza vizuri 2" ze problem is SIWEZI KUMUHADLE MTU NILIYEMTONGOZA. Hicho Ndicho nilichokuwa na maanisha.
Back
Top Bottom