Naanza vizuri lakini sinaga mwisho mzuri

Naanza vizuri lakini sinaga mwisho mzuri

Nashukuru kwa ushauri wenu lakin Dah! Dat iz true coz me nimwanacham mzuri 2 wa kula pensheni inaweza ikawa ndio tatizo ambalolo ninalo. Sababu nimeanza kula pensheni tokea nina miaka 16. Lkn kuacha hii kitu iz it possible? coz nimejari 4 long tym but i can't do it, solution ni nn yakuacha hii ki2 aisee inaraha yake.

MziziMkavu mwanafunzi wako huyu hapa..
 
Last edited by a moderator:
waweza kupanga kuonana na washauri juu ya hili; umri bado unakuruhusu kuwa ktk mambo mengine ya msingi kama shule, nk
 
Tongoza waschana wa size yako. Jipime kiuchumi na kimuonekano uone unaweza wepi.

Ati kutongoza anaweza na anakubaliwa isipojuwa hajui afanyeje baada ya kukubaliwa, ndo anataka ushauri hapo...
 
hivi wewe ukimtongoza malia obama akakubalia utajua cha kufanya? ama hata mwanasha j kikwete ukamtongoza pamoja na sifuri yake, utaweza kuongea akikuambia na mie nakuchunuku?
Ati kutongoza anaweza na anakubaliwa isipojuwa hajui afanyeje baada ya kukubaliwa, ndo anataka ushauri hapo...
 
hahaahahahahahahahahah teeeeeeee haahahahhahaahhaahhahaha hahahahaahhahahaha hahahahahahahahaahahhaahahha teeeeeeeee hahahahahahahahahahha njooni muone hii kitu hahahahahahahaha teh teeeeeeee mbavu zangu hahaahhahahahah.

Cheko lako limenichekesha sana kuliko hata huo uzi!! Duh we mkali mzee!
 
Daah! Kuna wengine nahic wameanz nifkiria vibaya, naomba niseme hiv. "ku DO naweza, tena naweza vizuri 2" ze problem is SIWEZI KUMUHADLE MTU NILIYEMTONGOZA. Hicho Ndicho nilichokuwa na maanisha.
 
Daah! Kuna wengine nahic wameanz nifkiria vibaya, naomba niseme hiv. "ku DO naweza, tena naweza vizuri 2" ze problem is SIWEZI KUMUHADLE MTU NILIYEMTONGOZA. Hicho Ndicho nilichokuwa na maanisha.

We ni so fake...upo kwa ajili ya kuenjoy watu tu ww....we si ndo ulikuwa unampa mtu darasa kwenye ule uzi mwingine jinsi ya kutongoza??...ww bure kabisaaaa
 
Hamna lady doctor hii nafanya kwa preparation of mariage. Ambayo natarajia kufanya panapo majaaliwa miaka 2 ijayo, so natafta experience ya kuwajua wadada mapema kabla ya kujiingiza humo

Kumbe unafanya mazoezi aisee, we ni noma ila kumbuka haya mambo hayahitaji mazoezi
 
Dogo ni mshambuliaji butu kama enzi za Diego Forlan anawachambua mabeki alafu akifika golini anapaisha
 
Hamna lady doctor hii nafanya kwa preparation of mariage. Ambayo natarajia kufanya panapo majaaliwa miaka 2 ijayo, so natafta experience ya kuwajua wadada mapema kabla ya kujiingiza humo

unafanya majaribio kwa binadamu mwenzio
 
We ni so fake...upo kwa ajili ya kuenjoy watu tu ww....we si ndo ulikuwa unampa mtu darasa kwenye ule uzi mwingine jinsi ya kutongoza??...ww bure kabisaaaa

dah! Jamaa angu nahc ujanielewa hiyo concept yangu. Nikwamba kutongoza naweza but i dont have a good conculution, thats over. Sasa kwann nisimshauri katika part hiyo.
 
Back
Top Bottom