Recent content by mchawi wa kusini

  1. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia, RC Chalamila kupitia zogo hil la stendi ni mzani wake wa mwisho kwamba huyu hatoshi kuwa RC DAR (Tumbua mama)

    Tengeneza Tatizo alafu baadae njoo ulitatue utaonekana wa maana Sana
  2. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapenda 'kupumua' mbele yangu, ananidharau au ndio mapenzi yenyewe?

    Habari Baada ya Asubuhi, Leo sina Mada ndefu sana, nataka kujua nina mke wangu anapenda kunijambia wakati nimekaa, huwa najiuliza hii ni dharau au anamatatizo yake binafsi! Unakuta unatulia unawaza hili na lile anajamba! Napata wakati mgumu sana au huyu mwanamke sio wangu nimeoa kwa bahati...
  3. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania

    Umeongea vizuri mno sema ndio karibu mtwara.
  4. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

    Mwanamke yeyote hili andiko anasoma Kwa uchungu Mkubwa Sana.
  5. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Tutamkumbuka kwa lipi Ummy Mwalimu?

    Waoewe vijana sasa hawa wengine wapumzike
  6. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wake zenu wanapokuja hospitali mje nao, hali ni mbaya mtalea watoto ambao sio wenu

    Unaonekana na wewe miongoni mwao unaokula wake zetu na sisi mkewako tunamla huku,usione udhaifu Kwa wengine hata sisi mtaani tunaona mkewako anajirahisisha sana.
  7. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Makonda uadilifu ameanza lini?

    Binafsi unapomzungumzia makonda kwa mabaya huwaga simalizi uzi kuoma, makonda hana shida shida ipo kwa sisi masikini wenye roho mbaya na wivu wa mtu akipata.
  8. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Kibu kuisumbua Simba, Taswira mbaya kwa timu

    Huyu kibu ana element za kikongo mkongo swala la pesa huwa anapagawa sana.
  9. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC huyu Onana tunambakiza wa nini?

    Onana mpe muda utakuja kunishukuru baadae huyo ni fundi sana sema ubishoo mwingi wa CR7 ndio unamuharibu,mpe muda
  10. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani ya kuzuia Nyoka wasiingie nyumbani au wasisogee karibu na nyumba? Kuna dawa yoyote ya kufukuza?

    Hilo pori unalokaa ngoja tuje kuchimba madini hao nyoka wataondoka.
  11. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Hawa nao wamezidi sasa nikisikia wamekuwa Maiti kwa Kuwachosha Polisi naweza kuwaelewa na hata kuwaunga mkono Polisi wao

    Kenya wengi wamesoma alafu kusoma kwao huwa sio waajiliwe serikali hapana wanajiajiri wenyewe kikubwa kuwaombea hivi vitu visiambukize nchi za jiraini.maana binadamu aanapochoka afadhari ya mnyama atakimbia kuliko binadamu anakuwa zaidi ya mnyama.
  12. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Gen Z wabisha hodi Uganda

    Kuwaombea tu wasifike huko binadamu wakichafukwa na roho huwa hawaelewi
Back
Top Bottom