Recent content by Mchawi WA Bongo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu mpaka kukata tamaa na kujikuta naangukia kwenye mikono ya shemeji yangu kikazi

    Sehemu ya 04 Basi Nikaanza Harakati Rasmi za Kutafuta Sababu za kuwa Karibu na Binti yule mzuri Khadija… basi ikawa Kila asubuhi Lazima Niende kwao kumsalimia mdogo wake ambaye ni Rafiki yangu (wazazi WA pale hakuna ambaye alikuwa na wasiwasi na Mimi kutokana na status yangu mtaani na pia Kaka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vijana: Tusisubiri Ajira Pekee, Fursa Zipo Kilimo na Ufugaji

    Kwa pesa yeyote ya kawaida kaka Unaweza Kufuga sema Nafasi ya Ukuaji ndio Haiwezi kuwa sawa na Mwenye mtaji mkubwa ndio maana Mashine za Kutotolesha vifaranga zipo za Kuanzia Mayai 30 mpaka 10,000...... Hiyo ni ishara kwamba unaweza Kuanza na Kidogo tuu ukiwa na Mpango mkakati mzuri na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vijana: Tusisubiri Ajira Pekee, Fursa Zipo Kilimo na Ufugaji

    Elewa NENO Bila mtaji mkubwaaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vijana: Tusisubiri Ajira Pekee, Fursa Zipo Kilimo na Ufugaji

    ATAKAYEHITAJI MASHINE ZA KILIMO NA UFUGAJI KAMA,.... INCUBATOR, TAA ZA JOTO, POWERTILLER, SPRAYER PUMP, WATER PUMP, BRUSH CUTTER NA VINGINE ......ATUCHEKI 0798812142
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vijana: Tusisubiri Ajira Pekee, Fursa Zipo Kilimo na Ufugaji

    VIJANA WENZANGU: Hakuna Atakayekuja Kubadilisha Maisha Yetu Isipokuwa Sisi Wenyewe Leo nimeamua kushare mawazo machache kwa kila kijana anayehangaika kutafuta maisha. Ukweli ni kwamba wengi wetu tunasubiri muda mzuri, mtaji mkubwa au mtu wa kutushika mkono. Lakini muda mzuri hauji wenyewe...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya fungus kwenye msingi na ukuta wa nyumba ni ipi?

    TUMIA WHITE SKIM WALL PUTY......KUTOKA MAGIC BUILDERS ZINGATIAAA
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu mpaka kukata tamaa na kujikuta naangukia kwenye mikono ya shemeji yangu kikazi

    HABARI ZENU JAMANI ......Tunaendelea na Mkasa wetu kaeni mkao WA kula Jamani......nilipata changamoto kidogo kazini nilifukuzwa..... But now kidogo nimetuliaaaa.... Tunaendelea.....Humu Kuna vitu vingi vya kufurahisha Na Kuelimisha Kaeni mjifunze kituuuu ......
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania, tafuteni hela. Hakuna kitu kizuri kama kuwa na hela

    😂😂😂😂 ngoja nikapige zangu nyetoo tuu huku natizama Comment zenuuuu😂😂😂..... Ila Maskini bwanaaa....kwahyo mnataka mpate pesa ili muwe mnaongea na Sisi au? 😂😂😂😂 Anyway..... Kama Huwezi kufanya mapenzi na nyoka SAHAU KUWA TAJIRIIIIIIIIII 😂😂😂😂
  9. M

    JamiiForums Tanzania Namsimulia Rafiki yangu wa Kijani

    Naona watu mnakabia kwa Juu😂😂😂😂
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake ombaomba pesa kwenye mapenzi wana tofauti gani na wanaojiuza kibiashara?

    Umeona anasema eti tusinunue Malaya Hivi ni Haki kweli Hiyooo??? Mbona watu mnapenda sana Kuharibu FURAHA Yanguuu??? 🤔🤔🤔🤔🤔
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake ombaomba pesa kwenye mapenzi wana tofauti gani na wanaojiuza kibiashara?

    Kaka Mbona Kama Unataka kuwa adui yangu sasa???🤔🤔🤔🤔
  12. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 plus unamuonesha nani? na ili iweje? ujinga ujinga tu

    Bila shaka wewe ni Mtu 90's hukooo..... Tuachie sisi Gen Z tufanye Kila kituuu....Haturuki chochoteee
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi kwa sababu ya mke wa boss

    Nimejifunza Kakaaaa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi kwa sababu ya mke wa boss

    Kaka serious Leo Kazi NIMEFUKUZWA na sababu ni makosa ya kujirudia mara kwa mara lakini Najua sababu ni mkao ambao boss alinikuta nao nikiwa na mkewe ofisini..... Hizo zingine zikawa njia tuuu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi kwa sababu ya mke wa boss

    Kheeee
Back
Top Bottom