Vivyo hivyo mwenye upungufu wa upeo huona kila kitu ni kizuri tu hata kama kina kasoro, kwa mfano chizi kula masalo dampo la uchafu wakati wewe ukiona kuwa ni uchafu yeye huona kuwa huna akili na umetupa chakula bora kabisa akikushukuru sana. Kwa hiyo siwez kukulaumu kwa kupungukiwa hilo ili mji...
We unazionaje vile?
Kwani kuna mwanamke mbaya duniani?
Kiherehere na macho na moyo wako tu ndio unatofautisha uzuri na ubaya wa kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka tumuulize white hair wakati we mwenyewe upo humu si utuwekee mezani tuyaone, pia kwenye madini kafanya kipi kizuri au kupeleka mswada wa dharula bungeni ukapitiswa na green bila tafakuri pana na madhara yake mbele ya safari. Bado kwenye madini wanafanya issue za kipimbi tu, ni nyie tu...
Tunataka uyaweke hadharani yapi aliyafanya mpaka wapinzani wakae kimya?
Km unatizamia kwenye necta huwezi jua kwa nini umechagua hilo jibu uliloweka na ukapata D ktk matokeo. Think bigger ucwe mchumia tumbo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau,
Nina mke na mtoto mmoja na hivi karibuni nimekamata mawasiliano yaliyoonesha kuwa wife ananisaliti na jamaa mmoja hivi nikafatilia vizuri ikawa ni kweli na alikwishatembea nae mara moja.
Nikawa nimemuuliza kama anampenda sana tuachane aende zake wakaishi pamoja lakini akasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.