Recent content by MCHAPAKAZZ

  1. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Renatus Nkwande ni mfano wa kuigwa kwa Wakatoliki

    Mmeshanijua then what? Mtanifanya nini? Nimefanya kosa gani nina haki ya kutoa mawazo ka nlivyofanya..nchi yetu inapinga ukabila hivyo ni haki yangu mtanzania kupinga ukabila,jimbo la Moshi linavyopeleka maaskofu wengi huku na huko wao tu ndo wanafaa na jee huyo roho mtakatifu yupo Moshi tu.?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Renatus Nkwande ni mfano wa kuigwa kwa Wakatoliki

    Milele amina ndugu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Renatus Nkwande ni mfano wa kuigwa kwa Wakatoliki

    Ikiwa wanajimbo wa Geita wakielekea kusherekea kusimikwa kwa Askofu mteuliwa Askofu Kassala ni vyema kukumbuka kazi kubwa ilofanywa na Askofu Renatusi alipokuwa msimamizi wa jimbo lao,kwa kuhakikisha anatetea matakwa ya Wanageita ya kumpata Askofu anayekidhi vigezo vyao. Maaskofu wengi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mkuu...kuna ndugu yang nahis kachukuliwa msukule na mzee fulan ..ntawezaje kujua ukwel wa hilo bila kwenda kwa mganga?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Na enjoy sana elimu unayotupa...unanifanya niufaham huu ulimwengu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mtaalam...naomba kujua nguvu ya dini katika uchawi na n dini dhehebu gan ambalo lina nguvu sana kwenye uchaw?
  7. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

    N pm nkuchukue
  8. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

    Naona nlikudunda vizur afu story umeifanya verse versa...hahaaa asante kwa remix
  9. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Jimbo la Geita, dunia imewasikia

    Msimamizi wa jimbo alikuwa anaitwa Renatusi Nkwande alikuwa Makamu Askofu wa Jimbo la Mwanza
  10. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Jimbo la Geita, dunia imewasikia

    Mmempata Askofu mwenye elimu,busara na jasiri. Kwa mfumo uliopo msingefanikiwa kumpata Askofu Kassala lakini kwa kupambana na kusimamia taratibu za msingi mwisho mmefanikiwa kumpata yule anayewafaa. Baada ya jimbo kuwa wazi march 2014 mchakato ulianza kufanyika wa kawaida,ambapo majina...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi hapa Dar naweza kwenda kukaa tu na Laptop yangu bila kununua chochote?

    Kuna watu wastaarabu kama kina afebris wengine mnazingua..mtu anauliza la msingi afe too much joking
Back
Top Bottom