Recent content by Mchapakazi

  1. M

    Mapacha wenye vipaji maalumu wa Ngorongoro wanaosoma Harvard

    Mmasai Kilema una kilema cha Ubongo sio? Pole sana ndugu: Umesoma post ya kwanza vizuri? Au inferiority complex zako zinakufanya kushindwa kuzingatia hoja husika? Hatuafuatilii kwa vile ni majinizi, wanasaidiwa na serikali au ni wamasai bali ni kwa vile kuna uongo mwingi sana wa wazi wazi kwenye...
  2. M

    Mapacha wenye vipaji maalumu wa Ngorongoro wanaosoma Harvard

    Nimesoma maoni ya wadau wote kwenye mada hii inaonyesha bado ni kitendawili cha kufa mtu. Ninahisi kwamba kuna mchezo mchafu unachezwa hapa na ninaendelea na uchunguzi wangu all Fronts nitakapopata taarifa kamili nitazimwaga hapa. Meanwhile mdau yoyote akipata updates zozote za majiniazi wa...
  3. M

    Mapacha wenye vipaji maalumu wa Ngorongoro wanaosoma Harvard

    Nimetoa ufafanuzi chini. Haya kwende kazi tupate majibu ya maswali magumu. Haikuwa nia yangu kuficha majina
  4. M

    Mapacha wenye vipaji maalumu wa Ngorongoro wanaosoma Harvard

    Sting na wengine pole sana. Sikuwa na nia ya kuacha kuweka majina ya majiniazi hao. Majina yao ya kwanza ni Salvanus na Sylvanus jina lao la mwisho ni Ole Sanwa lakini kama walivyoandika kwenye taarifa saa nyingine wanatumia jina la mwisho Kawasange ambaye ni muhifadhi mkuu wa Ngorongoro...
  5. M

    Mapacha wenye vipaji maalumu wa Ngorongoro wanaosoma Harvard

    Siku mbili zilizopita kulikuwa na habari kwenye gazeti la mwananchi ikizungumzia uhodari wa mapacha wa Kitanzania ambao wanasaidiwa na raisi kikwete kwa ajili ya masomo yao katika chuo kikuu cha Harvard Marekani. Naomba nitoe angalizo kwamba taarifa yenyewe ambayo nita- copy and paste hapa chini...
  6. M

    Mgomo: Madaktari waiangukia serikali!

    Hapa kuna kesi ya msingi kabisa. Hawa madaktari wanafikiri ignorance of the law is an excuse to break the law.....La hasha sio hivyo. Umegoma na mgomo ulisababisha vifo una kesi ya msingi9 kabisa ya kujibu. On a very serious note naomba contacts za mwanasheria atakayesoma taarifa hii niandikie...
  7. M

    Rais Kikwete kuzungumza na wazee wa CCM Dar leo jioni!

    WAZEmbE Wa mkoa WA Dar es Salaam Oyeeh Ngoja tumsikie Baba MwanaAsha...kesho sio mbali
  8. M

    Mgomo wa Madaktari: Serikali Yasalimu Amri! Yaomba Mazungumzo Upya!

    Bado nataka kuendelea kuamini kuwa hili ni jukwaa la watu walioenda shule ambao wanawakilisha mawazo yao kama hoja za msingi na watu wanajadili hoja na sio haiba za watu. That said: Nimeona na mimi nichangie machache kuhusu huu mgomo wa madaktari unaoendelea. Hoja ya kukutana na waziri Mkuu...
  9. M

    New International Airport and Port in Bagamoyo; hivi ni vipaumbele sahihi?

    Zomba naona masaburi yako yanafanya kazi inayotakiwa. ! Watu wanajadili economical implications za kuweka bandari Bagamoyo wakati barabara ya Msata Bagamoyow atu wameila na Dar Bagamoyo barabara yenyewe kimeo tu. I daunt kama hivyo vitu vitajengwa, I am ready to swallow my own owrds huo mardi...
  10. M

    Bilioni 18 zilizokutwa katika akaunti ya wakili Arusha zina uhusiano na siasa za 2015?

    Kuwa na Billioni 18 sio issue.Ila kama sio za magendo/wizi/ujasusi anaweza kuproduce tax returns kuonyesha jinsi alivyolipia kodi hizo hela zake wakati anazipata? Kama anaweza case closed ila kama hawezi I think hizo hela za kupeleka treasury japo magamba wanachota huko kama mtoni at least...
  11. M

    Bashe, Kigwangalla vita kali Nzega. Bashe amsasambua Mh. Kigwangalla

    Nyie watu mnaomfagilia bashe niwaulize mnajua wabantu walioko Somalia wanachofanyiwa na hao Kushites yaani wasomali? Hawapewi hata ujumbe wa nyumba kumi, wanaishi maisha ya taabu na dhiki nyie mpo hapa mnatetea wasomali. Hivi watanzania tumelaaniwa. Tunaabudu Wahindi, wasomali, watusi ndo...
  12. M

    Bashe, Kigwangalla vita kali Nzega. Bashe amsasambua Mh. Kigwangalla

    Ndugu zangu watanzania. Kwa nini tunaendekeza siasa za maji taka? Hivi hatuwezi kufikiri na kuweka perspective kwenye kitu hata kwa dakika tatu? Nimesoma hoja zote zilizotumwa hapa na nina haya ya kusema: Kwa miaka mingi lilikuwa ni jambo la kawaida japo sheria hairuhusu kwa watu kuchukua...
  13. M

    Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

    Huyu raisi sio riziki kabisaa na anaonyesha jinsii alivyo janga la kitaifa. Sikatai kwamba kunaweza kuwa na watumishi ambao hawana maadili mema ila kama raisi aliyeapa kuilinda katiba ya nchi na kusimamia sheria kazi yake ni kutafuta ushahidi na kufunga, anamsaidia nani kwa kuimba mashairi...
  14. M

    msaada jamani mtoto hachezi kama mwanzo

    Hamna mtoto wa wiki saba anayecheza ulikuwa unasikia vitu vingine. Kucheza kunaanza wiki ya 16-20. Subiria mateke yakija utayasikia na ndo utaamini uliyosikia wiki 7 haikuwa kitu.
  15. M

    Madaktari wauaji Mt. Meru Hospital arusha

    Mvumbuzi na watu wengine wanaoponda wahudumu wa afya: Wahudumu wa afya wa-kitanzania wanafanya kazi wke mazingira magumu sana. Hamna nyenzo wala vitendea kazi, dawa na matumizi mengine yapo at minimum level, watu kibao wazee, wenye chronic disease, watoto wanaambiwa huduma ni bure kila kitu...
Back
Top Bottom