kulikuwa kuna mantiki gani ya kujenga stadium pembeni ya uhuru stadium?Nimepitia Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na nimeshangaa sana pesa nyingi zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Bandari mpya na Uwanja wa ndege wa Kimataifa huko Bagamoyo, kilometa 80 tu kutoka Dar ambako kuna Bandari kuu yetu inayolegalega na Julius Nyerere Int Airport.

Wabunge walipiga sana kelele kuwa Reli ya Kati haijatengewa fedha za kutosha na imetelekezwa, ajabu hawakusema kitu kuhusu haya matumizi ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege na Port mpya Bagamoyo.

Je, twahitaji miradi hiyo Bagamoyo kwa sasa?
kulikuwa kuna mantiki gani ya kujenga stadium pembeni ya uhuru stadium?
Nimepitia Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na nimeshangaa sana pesa nyingi zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Bandari mpya na Uwanja wa ndege wa Kimataifa huko Bagamoyo, kilometa 80 tu kutoka Dar ambako kuna Bandari kuu yetu inayolegalega na Julius Nyerere Int Airport.
Wabunge walipiga sana kelele kuwa Reli ya Kati haijatengewa fedha za kutosha na imetelekezwa, ajabu hawakusema kitu kuhusu haya matumizi ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege na Port mpya Bagamoyo.
Je, twahitaji miradi hiyo Bagamoyo kwa sasa?
Hivi Mwanza kwa utajiri mlio nao mikoa hiyo, kinawashinda nini kujenga uwanja wa ndege kupitia bajeti zenu za mkoa? mpaka mngoje Serikali kuu iwafanyie kila kitu? wacheni kuwa legelege, wakati wa kufanyiwa kila kitu na Serikali umepitwa na wakati.
huu ni wakati wa kupeleka maendeleo kwenye mikoa iliyosahaulika;Nimepitia Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na nimeshangaa sana pesa nyingi zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Bandari mpya na Uwanja wa ndege wa Kimataifa huko Bagamoyo, kilometa 80 tu kutoka Dar ambako kuna Bandari kuu yetu inayolegalega na Julius Nyerere Int Airport.
Wabunge walipiga sana kelele kuwa Reli ya Kati haijatengewa fedha za kutosha na imetelekezwa, ajabu hawakusema kitu kuhusu haya matumizi ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege na Port mpya Bagamoyo.
Je, twahitaji miradi hiyo Bagamoyo kwa sasa?

huu ni wakati wa kupeleka maendeleo kwenye mikoa iliyosahaulika;

pwani

lindi

mtwara

kigoma

rukwa

kwenu lami ziliwekwa mpaka chooni, sisi tulikuwa kimya tu; viwanja vya ndege, bandari zilijengwa sisi tulikuwa kimya tu! sasa zamu yenu na ninyi kuwa kimya ili nasi tupate maendeleo
Pesa zote tunazo kusanya kutoka minofu ya samaki zaidi ya 1billion kwa mwaka, dhahabu kutoka geita, kodin mbalimbali zote hutumwa Dar (Hazina) halafu ndiyo hupangiwa matumizi kwa hiyo sisi hatuwezi kuendelea kwa kutumia raslimali zutu. TUUNGE MKONO SERA YA CHADEMA kuwa na utwala wa majimbo kanda ya ziwa tusingekuwa na jambo la kulalamikia.Hivi Mwanza kwa utajiri mlio nao mikoa hiyo, kinawashinda nini kujenga uwanja wa ndege kupitia bajeti zenu za mkoa? mpaka mngoje Serikali kuu iwafanyie kila kitu? wacheni kuwa legelege, wakati wa kufanyiwa kila kitu na Serikali umepitwa na wakati.
Kumbuka, bandari ya Dar Es Salaam ipo karibu kabisa na katikati ya jiji na pia ipo sehemu ambayo kuongezeka ukubwa ni tatizo na pia njia ya meli kufikia bandari ina kina cha maji ambacho hakikidhi kupitisha meli kubwa za kisasa. Tukitaka tusitake bandari mpya ni lazima ijengwe, Jee, mlitaka ikajemgwe Kilimanjaro?
Kuhusu uwanja wa ndege, hali ni hiyo hiyo, uwanja umeshakuwa mdogo kwa matumizi ya kisasa na upelekwe wapi? Bagamoyo ni KM 63 tu kutoka mjini Dar. Ni perfect choice kufanywa kuwa satellite city ya Dar. au mlitaka uwanja upelekwe Karatu?
Ndugu ZOmba, nakubaliana nawe kuhusu arguments zako, lakini sidhani kama unatenda haki unapoongelea Knjaro(Mbowe) na Karatu (slaa) kana kwamba hao ndo wachangiaji wa kodi za kujengea vitu hivyo.Jee, mlitaka ikajemgwe Kilimanjaro?
Ku. au mlitaka uwanja upelekwe Karatu?
Angekwenda kujenga kwenye masaburi yenu mngeona ni sawa tu.
mkuu si nimesikia kuna barabara itajengwa kutoka bagamoyo kuunganisha na tanga?

Ndugu ZOmba, nakubaliana nawe kuhusu arguments zako, lakini sidhani kama unatenda haki unapoongelea Knjaro(Mbowe) na Karatu (slaa) kana kwamba hao ndo wachangiaji wa kodi za kujengea vitu hivyo. Unafahamu, mpango wa ujenzi huo hasa wa airport ulikuwa Mkuranga - jiulize imebadilika vipi kupelekwa Bagamoyo? Kumbuka vilevile suala la Bagamoyo na airport vilihusu national security na uwepo wa kambi nyingi za jeshi kulinganisha na eneo lililoko Mkuranga/Suala la bandari binafsi nadhani ni genuine, kwa kuwa linaweza kupunguza msongamano barabarani mbali na kuwa na eneo la kutosha kwa meli kutia nanga. Hata hivyo tujiulize,meli zitatia nanga kuleta mizigo itakayosafirishwa vipi endapo reli ndo imekufa?Kumbuka vile vile suala la bandari lazima liendane na uwepo wa miundombinu ya reli/ Sina uhakika kama zipo njia za reli kule Bagamoyo
nahisi umepost ukiwa kichwa chini miguu juu yaani vice versa!Kidogo naweza kukubaliana na uwanja wa ndege ila siyo Bandari.