JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Kanizidi umri
Habari wana JF,huyu dada ndo chaguo langu kwa ukweli na ana kila sifa ya kuwa mke wangu na tunapendana sana,tatizo linalonisumbua sasa ni kwamba kanizidi kama miezi 9 hivi,na muda ndo huu wa kuanza michakato ya ndoa.
Je ni sahihi kuoa mke aliyekuzidi umri ingawa kwa muonekano ni kama mimi ndo...