Kumbe hata Ulaya marefa nao ni magumashi

Hii ina maaana kuwa during world cup 2014 hapa nyumbani kwetu Brazil marefa wa Uingereza hawana nafasi na pia in chapion league Man u hawana chao. Ashley Young alimpiga teke beki wa Chelsea, red card ilienda kwa beki aliyepigwa teke na ile red card ya Tores inalikuwa ni ya uonevu kuliko ya kwanza
 
leo manure angefungwa kungetulia na pili ukitaka kujua manure ni mbovu from behind watu wamesawazisha ila walivoona jambajamba imezidi king of diving kawapa red ila ya torres ndio imenichekesha sana utafikiri chandimu tunakufungeni na kukuchapeni pia ndio ya torres dah alafu kila wakicheza na timu kubwa wanafanya uharo.. hapa sichangii sana maana tukikutana nao itakuwa balaa..
 
Hapa ndipo huwa nawashangaa mashabiki. Wenzenu (hao marefa na wachezaji) mpira ni profession yao, wamesomea na wakafuzu. Leo hii, wewe unayejifanya unajua mpira, mara refarii kakosea, mara makosa ya wazi yaliachwa, hukuwahi kucheza hata mpira wa soksi kwenye uwanja wa vumbi! Bado soka letu kama Taifa linapumulia mashine lakini wanazi wa mpira ukiwasikiliza utadhani walishawahi kuchezea Spain! Tofautisheni ushabiki na utaalamu, maneno matupu na vitendo. Wewe unayelalamika tukikupa timu ya Simba mwakani uifundishe itashika hata nafasi ya 3 kweli? Acheni kuota ndoto za Abunuasi!
Sasa kama ni profession yao basi wafanye vizuri. Daktari akiacha mkasi tumboni mwa mgonjwa ni lazima akosolewe pamoja na kwamba ni profession yake...manu leo wamepata ushindi wa kingese sana
haya hapa chini ni maneno ya Ferguson mwenyewe...
"We've never got breaks down here and had some terrible decisions against us in the last few years," he said.

"But today we have got a little break for the goal - Chicharito [Hernandez] may have been offside."

On Torres's second yellow card, he added: "I think Jonny Evans might have caught him

Source: BBC Sport - Roberto Di Matteo says officials ruined Chelsea-Man Utd match

eti wamesomea wakafuzu...hujui hata unalosema...
 
Hii ina maaana kuwa during world cup 2014 hapa nyumbani kwetu Brazil marefa wa Uingereza hawana nafasi na pia in chapion league Man u hawana chao. Ashley Young alimpiga teke beki wa Chelsea, red card ilienda kwa beki aliyepigwa teke na ile red card ya Tores inalikuwa ni ya uonevu kuliko ya kwanza

_60856753_phil_mcnulty_bw122x110.jpg
By Phil McNultyChief football writer at Stamford Bridge

Manchester United closed the gap at the top of the Premier League to one point after Javier Hernandez's late winner gave them a hotly contested win over nine-man Chelsea at Stamford Bridge.
David Luiz's own goal and Robin van Persie's clinical finish gave Manchester United a two-goal lead early on, but leaders Chelsea fought back superbly to level with goals from Juan Mata and Ramires either side of the interval.
A pulsating game then turned on two red cards awarded against Chelsea in the space of five minutes that set the scene for substitute Hernandez to secure the three points for Sir Alex Ferguson's side.
Play media
_63766869_mmftbplchemnufergusonint.jpg

Hernandez gamble worked - Ferguson
Chelsea had few complaints about Branislav Ivanovic's red card for fouling Ashley Young as he raced through, but the dismissal of Fernando Torres for diving was bitterly disputed by the home side - and they looked to have a case.
The Spaniard appeared to be caught by Reds defender Jonny Evans but referee Mark Clattenburg ruled he had dived and produced a second yellow card, to the obvious astonishment of Torres and the undisguised fury of Chelsea.
Substitute Hernandez then smuggled in a winner from close range but it was converted from an offside position to leave Chelsea manager Roberto Di Matteo nursing a burning sense of injustice.
 
Lakini wakuu tunasahau kwamba Ivanovic na Fernando Torres walikwishapewa kadi za njano kwahio walipaswa kuwa waangalifu wasipate kadi ingine ya njano.

Walichokifanya? Blanislav Ivanovic akamchezea rafu Ashley Young na Torres akajiangausha ili Chelsea wapewe mpira wa adhabu karibu na eneo la hatari.

Mark Clattenburg ni mmoja wa waamuzi waandamizi wa EPL na UEFA akiwa na wenzake Howard Webb, Martin Atkinson, Andre Marriner na Mike Dean. Jumanne iliyopita Clattenburg alichezesha Champions league kati ya Benfica na Spartak Moscow, na alichezesha kwa uangalifu wa hali ya juu.

Clattenburg alichezesha mechi kati ya Man City na West Brom alimwonyesha kadi nyekundu James Milner na kadi ya njano kwa Mario Balotelli ambapo baadae kocha msaidizi wa Man City David Platt alikubaliana na uamuzi wake na pia kusema kwamba Clattenburg ni refa mjuzi. Pia katika mechi ya West Ham na QPR Clattenburg alionyesha kadi 10 za njano na kutoa kadi nyekundu kwa Samba Diakite wa QPR.

Sifa kubwa ya Clattenburg ni kudhibiti nidhamu uwanjani na kuhakikisha mtiririko wa mchezo hauvurugwi na rafu zisizo na maana na kujitupatupa hovyo uwanjani na hata Leo Ashley Young hakujaribu kujiangusha bila sababu.

Waamuzi wa Uingereza hasa wale wa Pl wanaongozwa na bodi iitwayo PGMOB au Professional Game March Official Board ambayo inajitegemea kutoka katika FA.

Hawa waamuzi wa nchi zilizoendelea si kama jamaa mmoja aitwae Nchimbi wa Mbeya ambae alikuwa akipunga kibendera kila mchezaji wa timu adui na Tukuyu Stars anapokaribia kufunga ili mradi tu TS isifungwe.

Chelsea wakubali tu kwamba waliruhusu magoli mawili yafungwe ndani ya dakika 10 na hiyo ndio ilikuwa death row yao leo. Na kwa kuwa JT yupo kando Gary Cahil ajitahidi azibe nafasi yake. Pia ni lazima Chelsea ipunguzwe "speed" yake.
 
.... mimi kesho naenda kununua TV nyingine baada ya kuisambaratisha niliyokuwa nayo kwa ghadhabu ya mbeleko za kijinga kabisa leo. Na ntadai fidia kwa FA.
 
Ukweli husemwa:

Mkuu,
Sheria za mpira kwa mtu yeyote anayefuatilia mpira lazima kwa kiwango kikubwa atazijua.

Nakubaliana na wewe, Mpira ni taaluma lakini pia wenye hiyo taaluma huwa wanafanya makosa na mengine ni makosa ya wazi ambayo kwa mtu anayefuatilia mchezo wa mpira atagundua kama ni kosa limefanyika. Ndicho hicho kilichotokea leo hapa Chelsea (London)

Kuna minong'ono hapa UK kuwa marefa wengi wanamuogopa Meneja wa Man United (Sir Alex Ferguson) na hii ina chagizwa na kasumba waliyonayo Waingereza wengi ambapo mtu yoyote yule Mwingereza ambaye anaheshimika katika jamii kutokana na mchango wake katika jamii mara nyingi huwa yuko juu kidogo ya sheria, na kutokana na hilo, waamuzi wengi wa mpira wa miguu huwa hawako tayari kupambana na Sir Alex Ferguson.

Ni huyu huyu ambaye aliigomea BBC kuongea nayo kwa miaka mingi na FA hawakumpiga faini yeyote kwa vile sheria inamtaka Meneja baada ya mechi ya mpira lazima aongee na BBC kama moja ya makubaliano na FA wakati wananunua kipindi cha kuonyesha mechi za mpira. kushindwa kufanya hivyo, lazima alipe faini.

Hapa ndipo huwa nawashangaa mashabiki. Wenzenu (hao marefa na wachezaji) mpira ni profession yao, wamesomea na wakafuzu. Leo hii, wewe unayejifanya unajua mpira, mara refarii kakosea, mara makosa ya wazi yaliachwa, hukuwahi kucheza hata mpira wa soksi kwenye uwanja wa vumbi! Bado soka letu kama Taifa linapumulia mashine lakini wanazi wa mpira ukiwasikiliza utadhani walishawahi kuchezea Spain! Tofautisheni ushabiki na utaalamu, maneno matupu na vitendo. Wewe unayelalamika tukikupa timu ya Simba mwakani uifundishe itashika hata nafasi ya 3 kweli? Acheni kuota ndoto za Abunuasi!
 
Lakini wakuu tunasahau kwamba Ivanovic na Fernando Torres walikwishapewa kadi za njano kwahio walipaswa kuwa waangalifu wasipate kadi ingine ya njano.

Walichokifanya? Blanislav Ivanovic akamchezea rafu Ashley Young na Torres akajiangausha ili Chelsea wapewe mpira wa adhabu karibu na eneo la hatari.

Mark Clattenburg ni mmoja wa waamuzi waandamizi wa EPL na UEFA akiwa na wenzake Howard Webb, Martin Atkinson, Andre Marriner na Mike Dean. Jumanne iliyopita Clattenburg alichezesha Champions league kati ya Benfica na Spartak Moscow, na alichezesha kwa uangalifu wa hali ya juu.

Clattenburg alichezesha mechi kati ya Man City na West Brom alimwonyesha kadi nyekundu James Milner na kadi ya njano kwa Mario Balotelli ambapo baadae kocha msaidizi wa Man City David Platt alikubaliana na uamuzi wake na pia kusema kwamba Clattenburg ni refa mjuzi. Pia katika mechi ya West Ham na QPR Clattenburg alionyesha kadi 10 za njano na kutoa kadi nyekundu kwa Samba Diakite wa QPR.

Sifa kubwa ya Clattenburg ni kudhibiti nidhamu uwanjani na kuhakikisha mtiririko wa mchezo hauvurugwi na rafu zisizo na maana na kujitupatupa hovyo uwanjani na hata Leo Ashley Young hakujaribu kujiangusha bila sababu.

Waamuzi wa Uingereza hasa wale wa Pl wanaongozwa na bodi iitwayo PGMOB au Professional Game March Official Board ambayo inajitegemea kutoka katika FA.

Hawa waamuzi wa nchi zilizoendelea si kama jamaa mmoja aitwae Nchimbi wa Mbeya ambae alikuwa akipunga kibendera kila mchezaji wa timu adui na Tukuyu Stars anapokaribia kufunga ili mradi tu TS isifungwe.

Chelsea wakubali tu kwamba waliruhusu magoli mawili yafungwe ndani ya dakika 10 na hiyo ndio ilikuwa death row yao leo. Na kwa kuwa JT yupo kando Gary Cahil ajitahidi azibe nafasi yake. Pia ni lazima Chelsea ipunguzwe "speed" yake.

kwa hiyo kukanyagwa kwa torres ni dive ili rudia replay vizuri kama fergie anasema alipaswa apige mpira golini na sio kujiangusha kama ndio hivyo kwanini young asipige na yeye mpira akaamua kujiangusha mi naona hawajamaa wa manure hakuna kitu bila ya refa inakula kwao cheki na spurs kiulaini wamepiga..
 
Ni kweli Evans alimgusa kidogo Torres kiasi cha kuweza kuendelea kucheza bila kwenda nusu mita bila kujiangusha na hiyo ndio Clattenburg alivyoona. Alichokifanya Torres ni kwenda hatua moja na kujiangusha wakti aliguswa tu na Evans.

Hata hivyo Torres nae yumo kwenye kundi la wachezaji wanaopenda kujiangusha pamoja na Ashley Young na Luis Suarez, na waamuzi wameona hilo.

Mimi simtetei mtu isipokuwa natetea uamuzi wa mwamuzi ambao umelenga kudhibiti "diving simulations".
 
Watu wanalaumu sana marefa lakini kwa kasi ya mchezo wa soka kwa sasa ni ngumu kuona matukio mengi sana uwanjani,sisi mashabiki tunaona yale matukio kwa sababu tunaangalia reply kwenye TV.Nafikiri wa kulaumiwa sana ni wachezaji ambao wanawadanganya sana waamuzi
 
Ukweli husemwa:

Mkuu,
Sheria za mpira kwa mtu yeyote anayefuatilia mpira lazima kwa kiwango kikubwa atazijua.

Nakubaliana na wewe, Mpira ni taaluma lakini pia wenye hiyo taaluma huwa wanafanya makosa na mengine ni makosa ya wazi ambayo kwa mtu anayefuatilia mchezo wa mpira atagundua kama ni kosa limefanyika. Ndicho hicho kilichotokea leo hapa Chelsea (London)

Kuna minong'ono hapa UK kuwa marefa wengi wanamuogopa Meneja wa Man United (Sir Alex Ferguson) na hii ina chagizwa na kasumba waliyonayo Waingereza wengi ambapo mtu yoyote yule Mwingereza ambaye anaheshimika katika jamii kutokana na mchango wake katika jamii mara nyingi huwa yuko juu kidogo ya sheria, na kutokana na hilo, waamuzi wengi wa mpira wa miguu huwa hawako tayari kupambana na Sir Alex Ferguson.

Ni huyu huyu ambaye aliigomea BBC kuongea nayo kwa miaka mingi na FA hawakumpiga faini yeyote kwa vile sheria inamtaka Meneja baada ya mechi ya mpira lazima aongee na BBC kama moja ya makubaliano na FA wakati wananunua kipindi cha kuonyesha mechi za mpira. kushindwa kufanya hivyo, lazima alipe faini.

Mkuu, hili uliloongea haliko sahihi kwasababu si sheria kwamba ni lazima mameneja wa timu waongee na BBC hata kama ni BBC hiyohiyo imewakosea.

BBC na kipindi chao cha Panorama waliongelea juu ya Ferguson na mwanae Jason kwamba anatumia nafasi ya baba yake Ferguson Snr kufanya biashara za usajili wa wachezaji kwa ufanisi mkubwa.

Lakini mpaka kesho madai hayo hayajathibitishwa na wala Jason Ferguson hajafikishwa mbele ya sheria hivyo kufanya uamuzi wa Alex Ferguson kukataa kufanya mahojiano na bbc kuwa "justifiable" kwa kuzingatia kwamba BBc walipaswa kumuomba radhi.

Sasa FA wasingeweza kupiga faini kwa jambo ambalo halipo.

Na hiyo ya kasumba unayoisema kwamba waingereza huwaogopa watu kama Ferguson kwa nafasi walizo nazo inawezekana kwa upande mmoja lakini kwa upande mwingine ni kwamba watu kama Jimmy Saville kwa nafasi aliyokuwa nayo na kutunisha michango aliweza kuwaharibu watoto wa watu na hakuna aliethubutu kusema mpaka leo hii yupo kaburini ndio watu wanajitokeza.

Sidhani kama mkono wa sheria wa nchi kama Uingereza unaweza kuchezewa hivyo.
 
Siku hizi kwa Chelsea Torres hana msaada wowote kule mbele,sometimes ni bora wacheze pungufu kuliko awepo.Ferguson alikuwa mjanja sana hakumchezesha Scholes ambae naamini angekula red pia akamtoa Rooney mapema baada ya kuona kapata kadi ya njano
 
yani huwezi linganisha man u na chelsea...man ilitakiwa ipigwe kipigo cha aliefumaniwa... ila man of the match inaenda kwa referee kawachezea vizuri sana... man u
 
BARCELONA ANABEBWA LAKINI ANA SWAGGA ZA KUKUTIA PRESHA MPINZANI HADI MOYONI UNAKUBALI MPIRA WANAUJUA

LAKINI MAN UTD WANABEBWA HATA KAMA HAWANA SWAGGA ZA KUSHAMBULIA KAMA BARCA as MAN UTD BILA MAREFA HAKUNA KITU..

Inshort MAN UTD na BARCA WANABEBWA SANA

Jiongeze mkuu huoni hao man u na barca ndo wanaojua mpira,kila siku mtalia na tim zenu mbovu hizo mpira ni mbinu sio kukimbia kimbia tu
 
Halafu kama haitoshi wamepewa na goli la offside!!Kumbe wakina mulugo wapo hata kwenye football! Mjinga yule amenikwaza sana jana aisee kaniharibia weekend yangu nzima she.nzi zake pu.mbaaaaaaff kabisa!
 
mbona hamuongeui kuhusu kadi ya njano ya valencia? mbona hamuongei kuhusu faulo ya Torres ya kwanza ambayo alipewa kadi ya njano while ilikuwa straight red card? mbona amuongelei faulo ya Suares mechi ya kwanza? msipelekwe na mapenzi wakuu....mpira ni kanuni,na marefa ni binadamu so makosa yanatokea....Groly Man U:clap2:
 
Manchester United ndiyo klabu bora kabisa duniani. Ni lazima wachukue kombe la ligi kuu na la UEFA CHAMPIONS LEAGUE.
 
Halafu kama haitoshi wamepewa na goli la offside!!Kumbe wakina mulugo wapo hata kwenye football! Mjinga yule amenikwaza sana jana aisee kaniharibia weekend yangu nzima she.nzi zake pu.mbaaaaaaff kabisa!

position ya referee na kasi ya ule mpira ni vigumu sana kwa refaree na msaidizi kuona...kumbuka wew umeangalia reply ndo umeona ni offside but refaree yupo kwenye tension na game..
 
Back
Top Bottom