Haijashinda darajani miaka 10 ni vp leo man u inabebwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haijashinda darajani miaka 10 ni vp leo man u inabebwa?

Discussion in 'Sports' started by mchapa, Oct 29, 2012.

 1. mchapa

  mchapa Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Kua mshabiki wa timu flan haimaanishi kuchukia timu nyingine,km mpenzi wa mpira unatakiwa kuangalia pande zote na si kusimamia ushabiki,wikend hii ya primier league nimeona maamuzi mengi mabovu ambayo yamepelekea kuathiri timu zingine tukianza na mechi ya asernal.goli walilofunga asernal baada ya marudio imeonyesha dhahiri arteta alikua offside na refa hakuona pamoja na msaidizi wake,jana pia luis suarez kafunga goli dakika za mwisho na refa anasema offside lkn baadae imeonyesha lilikua goli halali,cha ajabu sijaona watu hasa wabongo wakilaumu maamuzi hayo wala kusema arsenal ilibebwa,hernandez anafunga goli ambalo kwangu ni offside lkn ktk mtindo ambao wote hatukuona mpka baada ya marudio km ilivokua kwa arteta na suarez.kadi ya torres ambayo kila mtu analalamika ni kweli aliguswa ingawa haikua kiasi cha kumpa mtu red kadi kwa kumchea rafu kwan contact ilikua ndogo sana,nilichoshangaa ni kwa nini refa anampa kadi terres wakati angeweza kuacha na ikawa gol kick?kuna vtu viwili naviona hapa kwanza km refa angekua upande wa utd terres angekua nje muda mrefu kwa kumfanyia faulo mbaya creverley ambayo ilimpatia kadi ya njano inawezekana refa aligundua hilo baadae na pili kwa sasa kumekua na tabia ya kijiangusha sana kuna uwezekano marefa wanataka kuondo tabia hiyo kwn terres ni mmoja wapo pamoja na ashley young na suarez.
  Ninachoamini ni kwamba utd wanajua sana kucheza na marefa hasa ktk mechi kubwa sio tu uingerza hata ulaya pia tumeona the same as barcelona tusipokua makini kuona haya tutakua kila siku tunalalamika tunasahau marefa hawaoni replay km sisi wakiwa uwanjani na wao ni binadamu hasa kwa mechi ilio kasi km ile ndo maana wachunguzi wanaomba goal line tech sisi tunasema marefa wanabeba badala ya kuangalia hali halisi,mambo hayo ni bongo ndo yanawezekana.

  Mwisho niseme tu kwamba km man u ingekua pamoja na fa isingekua imefungwa kwa miaka kumi pale darajani na hata msimu uliopita wangechukua ubingwa,city walikua bora zaid ya utd na ndo mana walishinda mechi zote mbili zidi ya manu u,chelsea ni wazuri lkn kwa sasa wanahitaji muda kidogo kwa wachezaji wapya kujua namna ya kucheza big mechi km hizo man jana walibebwa na uzoefu tu na si kingine.Poleni sana kwa wale mlioumia msichukie ndo mpira msisahau mti unaopigwa mawe ndo wenye matunanda
   
 2. B

  Baba Kiki JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 1,366
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  Pamoja na utetezi mzuri lakini kwa uamuzi wa jana kati ya chelsea na man u, wengi wanaweza kufikia hitimisho kuwa kuna kitu kati ya Man u na marefa. Ni kweli waamuzi ni binadamu, nao pia hufanya makosa lakini swali ambalo watu hujiuliza ni kwa nini makosa ya kibinadamu ya marefa huwa sio ya kuiumiza man u?

  Pili ni kwa nini makosa mengi kama sio yote yanayofanyika kwenye mechi za man u ni yale yanayotoa hatma ya mchezo husika.

  Kwa kweli ukifuatilia mechi ya mwisho ya ligi mwaka jana ambapo man u ilipewa penati 2 dkk ya mwisho na kusawazisha magoli na uamuzi wa jana, unahitaji kuwa na roho ngumu kujiaminisha kuwa hakuna 'namna'.
   
 3. ligendayika

  ligendayika JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,175
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Ukita mpira uenedeshwe kama mahakama unakosea,kadi mbili njano nisawa na redcard,torres alikua nazo.torres aliiakamaa kiatu cha evance alishapita akapewa aevantage kisha akajidondosha uongo,adhabu ya last defender kumzuia strike kufunga ni card.usijaribu kitu ktk soccer itakugharimu.. man watulivu sana big mechi hawachezi ovyo hii ni kutokana na aina ya kocho wachezaji wana nidgamu ya juu hata wakufungwa
   
Loading...