Recent content by Mchako21

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Mzee unaenda chuo ifm alafu unashindwa calculate asilimia be serious
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Kuna kijana uko juu anasema amepigiwa cm kwamba amepata mkopo yes ndo iko ivyo ukiona kimya ujue umepigwa panga
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Mimi nasema ivyo na evidence ndomana nasema ivyo sikukatishi Tama ila kwenye ukwel tunaambizana tusubili watu walio bakia 1000 kwa serikal yasaiz itangaze Jambo alafu lisiwe limetimia never ever majina yameshatoka ukiona wew bado ujue umepigwa panga focus kivipi utapambana na chuo sio lazima...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Watu walisha pata toka jana uko naona watu mnalalamika bodi ya mkopo wako slow tayar mda Sana Kama bado ujapata ujue panga limepita naona watu mnalalamika Sana tusubili watu 1000 walio bakia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Mzee kma uliomba mwakajana ulikose mwaka huu ni lazima upate naona unashakw Sana bro
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Kama ulikosa mwaka jana mwaka huu asilimia 90 unapata
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    S, student I ,individual P , parmenet A, account
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Relax wakuu mkopo ni Kama bahati ukiwaza sna utashindwa kufanya Mambo ya msingi take easy nakumbuka mwaka jana nilkua nawaza Sana alafu nikakosa hadi nikajihisi naumwa chukulia kawaida mwachie mungu kwamba ukiwaza Sana ndo utapata
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Tulio kosa mkopa mwakajana tunajua maumivu yanavo kua ya kukosa mkopo
  10. M

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Bado watu Kama elf 7000 Saba iv asilimia kubwa ya watu awajapata
  11. M

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Wote tumepata
  12. M

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Bado bhana mbon kwenye account amna kitu
  13. M

    JamiiForums Tanzania AVN number ilivyokatisha ndoto zangu

    Kila Jambo linawakatu wake Mimi mwenye mwka juzi nilikosa kila kitu kisa avn nilipoteza hela nyingi sna Lakini mwaka unaokuja nikipata kila kitu nacho mshukul mungu Kwaio bro wait mwakana uombe Tena
Back
Top Bottom