Recent content by mchajikobe

  1. M

    Biashara ilinifunza kwamba ukiweka mbongo dukani itakulazimu uwe makini sana na daftari lasivyo utapukuchuka

    Kwamtindo huu huwezi ipanua biashara,maana halisi ya biashara ni kuiacha pesa ikuingizie pesa sio wewe kuweka hela alafu bado unalazimika kukaa kwenye biashara
  2. M

    CCM achaneni na wabunge wa miaka 20+, watawachelewesha na kutuchelewesha sisi pia

    Kama huku kwa ponjoro kuna kijana tunamtamani sana sema ndio ponjoro kashika hatamu
  3. M

    Kuna mtu jasiri zaidi ya Tundu Lissu amewahi kutokea Tanzania?

    Unaleta habari za afrika wakati umeulizwa Tanzania ila wahaya sijui nani kawaloga
  4. M

    Kuna mtu jasiri zaidi ya Tundu Lissu amewahi kutokea Tanzania?

    Tatizo la hayo mataifa uliyoyataja haki na sheria huamua ni tofauti na huku haki ni matamshi tuu na sheria zinapindishwa
  5. M

    Kuna mtu jasiri zaidi ya Tundu Lissu amewahi kutokea Tanzania?

    Umeielewa post au,post inasema mtu jasiri zaidi ya lissu kutokea tanzania,hapa inazungumziwa tanzania
  6. M

    Kuna mtu jasiri zaidi ya Tundu Lissu amewahi kutokea Tanzania?

    Kumbe na mandela naye alikuwa tanzania?
  7. M

    Biashara ya wifi internet router mtaani

    Hapa changamoto iliyopo ni kwamba wanaweza waka scan hiyo barcode ya wi fi then wakawa wanatumia tuu bure kwa kuunganishana,nadhani kwanza tungejuwa namna ya kuzuia watu ku scan then tungefanya hii biashara kwa usalama zaidi
  8. M

    Unahitaji huduma za Kompyuta kama programu, windows 10,11 na n.k

    Bro utuambie ukweli kwamba hizo windows siyo genuine ni cracked katika dunia hii hakuna miujiza ya kupata windows genuine kwa elfu ishirini,tuambie ni pirated windows ambazo umezi activate
  9. M

    Ndege ya abiria iliyokuwa na watu 242 yaanguka huko Ahmedabad, India muda mfupi baada ya kupaa. 241 wathibitika kufariki dunia

    Ieleweke kuwa wanaosema tunaamani wanajidanganya,duniani sio sehemu ya amani,kila sekunde na dakika tunayoishi hapa duniani imejawa na hatari na mashaka,hakuna usafiri wala mahali ambapo ni salama kwenye hii dunia,hatari yoyote inaweza kutokea popote na muda wowote.
  10. M

    Tunaambiwa uchumi umekuwa na makusanyo ya mapato ya ndani yameongezeka sana, lakini deni la taifa limeongezeka maradufu. Deni litalipwaje sasa?

    Kama goli tuliambiwa ni la mama,pesa wanazokopeshwa tunaambiwa pesa za mama,kila kitu tunaambiwa cha mama,sasa hili deni inakuwaje la taifa na sio la mama?
Back
Top Bottom