Orange huwa siikubali kabisa sjui kwa nini......., anyway kwa sasa nishaanza kujiskia poa tayari kwa mapambano ya jioni...., sema mpaka sasa sjui ninywe nini maana nataka kesho niamke mzima sababu nina kazi muhimu ya kufanya
Aaah leo ndo siku soda zenye sukari zitanijua mimi ni nani....., huwa nikiamka naumwa kichwa naweza kunywa soda zote za sukari zaidi ya tano kwa siku....., Mpaka sasa nishakunywa Fanta Passion moja ila nataka niagize pineapple niendelee kusogeza nayo muda
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mkuu kwa hyo mixer alchemist wakichukua damu yako wanatoka na dawa ya UKIMWI[emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi nakunywa sawa ila wewe ni gari maalumu kwa matumizi ya kubeba pombe tuuu
Dah! Nashtuka sa hivi kichwa kinagonga kuliko kawaida[emoji58] kweli Valuer sio pombe ya kunywa kavu labda umix na safari baridi inakuwa na ladha flani hivi amaizing na haina hangover [emoji55][emoji55][emoji55]
Hapa bila supu hapakaliki Jumapili ishakuwa chungu hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.