Recent content by mchaga84

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume hataki kufanya mapenzi na mimi, anataka mtoto niliyezaa kabla ya kunioa

    kwanza ngoja nkubatize jina WAKUKURUPUKA...Soma story vizuri uielewe! kashasema alipewa ujauzito akatelekezwa.. STUPID
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna athari ya kuwa na msichana wa kazi ukiwa mseja?

    pakaywatek hakuna athari yoyote, wala usjali
  3. M

    JamiiForums Tanzania Aliniambia mtoto kafariki kumbe yupo hai

    pumbafu weee! weee si ulimkano mtoto! ubinafsi umekujaa.. eti haki yangu mfuuuuuuuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumuacha kwa matusi na kejeli, amerudi anadai anampenda bado

    weee ulokole unaujua??? hebu usimdhalilishe mungu, mlokole afu anaishi na mwanaume bila ndoa???
  5. M

    JamiiForums Tanzania I Need A Nanny Cam(For Monitoring My Baby While Am Away)

    nenda kanunue Kwa Mange www.uturn.com
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe katili kuliko hata unavyofikiria

    weeeee! ishia hapo hapo! hakuna watu wauwaji kama wanaume sasa, naomba nikuulize swali, jifikirie and be honest with your answer nikiwa kama mkeo na nina ujauzito usio wako je utanifwanyaje???
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wasichana na maswali ya utanioa lini mnaboa

    stupid you! eti "Usimtendee mtoto wa kike kile ambacho wewe hutopenda dada yako au binti yako aje kutendewa..!" kwani hao wa O level ndo sio watoto wakike hadi watendewe hivyo??????
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    aiseee weee dada una roho mbaaaaya sijapata ona! I wish huyo unaye kusababisha umwache ticha naye akutendee the same and more than that
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mpenzi alivyoharibu jumapili yangu

    story yenyewe mbona hata haieleweki
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    pole sana rafiki yangu, I know what you are going through right now! cha msingi mwombe mungu akupe amani na ujasiri na pia akuwezeshe umsahau kabisa huyo binadamu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa ni dawa

    kila siku!!!!!!! ingekuwa mimi ningekuruhusu unitafutie msaidizi ha ha haaaaaa haaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mademu wengi wanateseka juu yangu...

    we utakuwa POSITIVE unausambaza sii bure
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jamani nini dawa ya mwanamke mkorofi?

    ukitaka uhame kabisa nyumbani fanya hivyo!!!!!!!!! ikimbukwe fahali wawili hawakai zizi moja. hiyo nyuma itakua sudan ndogo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Haloooo jf members!!!!

    its my pleasure to be part of JF. I hope I will learn some new things in here. Thanks
Back
Top Bottom