Muweke wazi kuwa yeye ni wa kukata kiu.
Mapenzj ya namna hii yanashamiri sana na wala usiogope. Aamue moja.
Akigoma sambaza upendo kwa terms and conditions
Vita ya uchumi haiwezi kupendezwa na mabeberu (NEVER EVER).
Hata wenyeji hutumika kuangusha au kudhoofisha jitihada za maendeleo ya nchi na kuwaona viongozi wachapa kazi kama sehemu ya matatizo (refer hali ya Libya na Gadafi)
Cruelity ni sehemu ya maendeleo (soma vitabu vya dini na historia ya...
Imekuwa kawaida watoto wa Nursery na Day care shule za English Medium kuingia shuleni saa 1 asubuhi.
Ukiweka umbali wa kuchukuliwa na school bus, wengi huchukuliwa saa 12 kamili na dk chache. Hii umlazimisha mtoto kuamka saa 11 alfajiri.
Kwa nini wizara isiweke utaratibu umri wa watoto wadogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.