Sio vitabu tu hata hotuba zake na vyombo vya habari vyenye either ku-quote au kurusha hotuba zenye kumpa za uso vitapigwa marufuku/kufungiwa kwa maelezo hotuba hizi zinatoa uchochezi na kuhatalisha usalama wa nchi na vyombo vya habari viombe msamaha kimaandishi kuwa daima milele havitamtaja...
Miaka zaidi ya 17 ya kusoma huku kiingereza kikiwa ndiyo lugha ya kufundishia still hujui hata kuongea sentensi yenye maneno 8 tu kiufasaha! Mweeeh mi mwenzenu huwa naangalia hii mutu halafu nabaki kucheka kimangati "zwii..zwii..zwii..zwii"
Njaa zitawaua. You can fool some people some time but not all the people all the time. Tume huru.....tume huru.....tume huru. The world knows what is going on in Tanzania. Halafu wahenga walisema "No king rules forever" one fine day this will come to an end.
Mkuu bujibuji uliyoyasema kila mtu anayaona na ni bahati mbaya sana hawa mazombi wenye uchu wa madaraka na ulimbukeni wa mjengo mweupe wanafikiri wao ni miungu watu. Wanadhani wanamamlaka ya kutufanya chochote kwa kutumia mamlaka waliyonayo.
Hili ni swala la muda na amini nakuambia chini ya...
Yes indeed haujatulia na ni kweli umelenga katika kuwatanabaisha wana forum kuwa ulikwenda German. In fact mimi binafsi nilidhani utajikita katika kufafanua uchakarikaji wao hasa ukichukulia kicha cha habari.
Pili nilitaraji kuona ufafanuzi wa vibaka ambao wewe umewaita wame-advance! The 200...
Ushaliwa weye........endelea kutoa huduma acha kutokwa na mapovu na ki-story chako cha kidwanzi . Our job is to dig into those holes big-time na tutaifanya hiyo kazi kweli kweli (in ngosha's voice) mke....mke.....mke......so what! Si ungeolewa basi na wewe [emoji57]
wallah umenifanya nimecheka kupitiliza, lakini kusema kweli haya madude a. k. a madege kama ulivyoyaita yaone tu yakiwa yamevaa nguo na mashauzi lakini ukishayaingiza theater kuyafukunyua utajuta why did you dare.
Mm kwa maoni yangu hili limechelewa sana, mchechu, kule nssf na maliasili katika utawala ule waliwekwa watu kwa maslah ya watawala(utatu mtakatifu)na wamekula kweli kweli huku wakihakikishiwa usalama. Ni bahati mbaya tu watawala wao wako juu sheria hawaguswi.
NHC contract zote za miradi...
Tena huyo usimtaje kabisa hapa! Kwa sasa magufuli kama ni mkweli kama ambavyo anasema sheria za madini zirudi bungeni kubadilishwa basi NA SHERIA YA KINGA YA RAIS IRUDI BUNGENI IBADILISHWE ILI TU- DEAL NA AWAMU MBILI ZA NYUMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.