Recent content by Mc PIPI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    Acha tabia ya kuvutia alosto chief,ndo kumaanisha nn? Malizia tafadhali kabla sijakurrpoti Kwa balozi wa nyumba 10
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bawasiri ni kutanuka au kuvimba kwa mishipa ya damu (dilated or enlarged veins) iliyopo sehemu ya chini ya rectum au sehemu ya haja kubwa (anus).

    Niliwahi sikia kuwa bawasiri husababisha upungufu wa nguvu za kiume mwilini,jee Kuna ukweli wowote juu ya hili?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya haya mabadiliko kuwa walimu wenye Diploma kushushwa chini kufundisha Primary school. Nimeamua kwenda University. Na ninabadili kada

    Niwajuze kitu kimoja sasa,SHULE za private Tanzania na hasahasa za Katoliki kwao hayo madegree na madiploma Wala hawahangaiki nayo,wao Wana hata walimu wasiosoma fani ya ualimu lakini wako nondo sana na Kuna walimu wengi wa certificate wako nondo kuliko hata hao wa degree all in all kupanga ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Messi kafika palepale alioishia Klose magoli mengi ya muda wote kombe la dunia 🔥

    Na hata kama Messi akiwa kileleni Kwa ufungaji huo baada ya kombe hili,hiyo rekodi yake itavunjwa baada ya miaka minne TU na Mbape kwani kijana Bado ana mashindano yajayo yasiyopungua mawili.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi Njombe Town

    Z Zimefull zote mzee baba,labda utafute Makambako 60kms to Njombe
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Nikiikosa hii nitakuwa na gundu maana nimekuwa Teja wa hii story Hadi Jana nimelala saa 7 usiku kisa kuona mwendelezo,tupe mwongozo boss.
  7. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Friji na Freezer kwa bei nafuu

    Hv Yale makubwa ya mabuchani unayo? Na ni bei gani kama unayo purposely for fishes.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ujue mchezo wa aviator au kindege na siri zilizojificha nyuma yake

    Tupe mbinu zako mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Boss imeifunga PM yako?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tumsaidiaje huyu dada kwa hili timbwili?

    Tengua kauli mkuu,mm ni kidume.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tumsaidiaje huyu dada kwa hili timbwili?

    Nashukuru wahenga,michango yenu naipata vema.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tumsaidiaje huyu dada kwa hili timbwili?

    Salamu kwenu wakuu. Jambo hili nimeona hapa ni mahali sahihi pa kupata solution ya kumaliza vizuri jambo la huyu dada. Ipo hivi, leo kuna workmate mwenzangu na my best friend anafanyiwa send off huko kwao na huyu workmate mwenzangu ana rafiki aitwaye Clara wameshibana sana na huyu Clara ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Vp leo mkuu,waweza tubless huu night?
Back
Top Bottom