Kuna natafuta yamepeleka askari wao kupigana upande wa congo Kama:- Burundi,south Africa, Tanzania,Kenya,kwahiyo jipe siku 3 mbele, utasikia M23 ana Hali gani, sababu majeshi ya washirika ndo yanaingia site Sasa, yaani kumzuia M23 ni kazi inayo fanywa na washirika,niliowataja hapo juu,halafu...