Huelewi unaongea na mtu wa namna gani! Nimeuishi ukoloni, Nimeuishi utawala wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na sasa Magufuli. Narudia tena hizo ni porojo ulizolishwa huko unakozitoa, zinazozalishwa na chuki ambazo wengi humu JF wanakulaumu kwa udini. Wewe unamchukia Nyerere kwa sababu moja...