Guyz i think this is the best place where a person who intended to learn english could learn and understand effectively.. bt i dont see people's chating.. why?
Yaan timu ikishakuw kwenye pressure bas ye n hamna jipya tena.. kuna mda anacheza pouw saana leo nadhan kante alikuw 50% ya performance yake.. thatx why tumeshambuliwa sana.. kova kw dk alizocheza kaperforme vzur ..mount lukaku na kai wanatakiw kuzoeana zaid ili wasipishane kwenye movement...
Jamani naombeni kujua jukumu la jorginho pale katikati.. nachomuona ni anapiga pasi tu, hakabi kwa kiwango cha no 6,backup za kante na kova ndo zinamsave asionyeshe makosa mengi bt Kwa game kama la leo niliona kabisa ameshindwa kufanya jukumu lke as no 6... hatengenezi mashambulizi makali.. itx...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekucheka kimbelembele.. Naona upo kwenye jukwaa langu unanchungulia Zidixha manjonjo uwanjan mchumba.. sio unalalamika nakusaliti
We ni wangu kuanzia sasaNB:UNAONGEA NA BINGWA WA UEFA NAONGEA NA NAN? #Liva Puli tu ww ......wana mpeni sabuni akaji***
Wanangu wa The blues.. nina cha kushea hapa kuhusu hawa viungo wetu...
1.jorginho-nimemwona kama kiungo mchezeshaji ukitegemea jorginho akabe umeumia na ndio maana combination anayoijalibi bwana Tuchel kumchezesha na kamanda Kova haiwezi kuwa imara.. kwann?
2.Kovacic-huyu bwana ni kiungo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.