Recent content by Mbwichichi

  1. Mbwichichi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Hatembei na Mume wake? CCM Haina washauri wa maadili?

    kwake ilikua lazima awe raisi bila kujali mambo yake yakoje, wenzake wote walikua wameomba kuwa maraisi kwahiyo ilikua wanalazimika kuwa na baadhi ya vigezo ikiwemo suala la mke. yeye ilikua lazima awe kwa mujibu wa katiba hata kama angekua ni nani.
  2. Mbwichichi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi kutongoza demu kama leo halafu kesho ukapiga mzigo

    nliwahi tongoza baada ya kula mzigo…
  3. Mbwichichi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi kutongoza demu kama leo halafu kesho ukapiga mzigo

    nliwahi tongoza baada ya kula mzigo…
  4. Mbwichichi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua chanel nzuri telegram kwa movies?

    sababu gani?
  5. Mbwichichi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua chanel nzuri telegram kwa movies?

    Naombeni kujua ni chanel gani nzuri kwa ajili ya kupata movies telegram
  6. Mbwichichi

    JamiiForums Tanzania Bunge live, Kuna Mic imesikika inasema “kuna wanawake zako wanapiga” 😀

    midinyo hakuna makaburini tu
  7. Mbwichichi

    JamiiForums Tanzania Bunge live, Kuna Mic imesikika inasema “kuna wanawake zako wanapiga” 😀

    sauti ya kike ni kama kuna mwanamke alikua kashika simu ya mwanaume humo ndani halafu ikapigwa na mwa amke
  8. Mbwichichi

    JamiiForums Tanzania Bunge live, Kuna Mic imesikika inasema “kuna wanawake zako wanapiga” 😀

    Kwa wanaofuatilia bunge live , kuna mic ya mbunge imesikika ikisema “kuna wanawake zako wanapiga”
  9. Mbwichichi

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuanza ujenzi, naomba ushauri

    kumbe haitakiwi😅😅
  10. Mbwichichi

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuanza ujenzi, naomba ushauri

    nyumba ya vyumba viwili vya kulala ila yenye nafasi ya kutosha kidogo,siyo ndogo kama fume chamber
  11. Mbwichichi

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuanza ujenzi, naomba ushauri

    kiwanja kipo tayari, ni kibaha
  12. Mbwichichi

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuanza ujenzi, naomba ushauri

    kwahiyo kosa letu ni lipi mkuu?
  13. Mbwichichi

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuanza ujenzi, naomba ushauri

    Nina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi. Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na maisha mengine. Nina familia ya mke na mtoto mmoja anayesoma darasa la nne, ada ya shule ni 1.5m kwa...
Back
Top Bottom