Manara yupo yanga sababu ya gsm na ni balozi wa bidhaa zao halafu huwezi kumfananisha huyo meneja na mtu maarufu kama haji manara
Haji manara akisema jambo linakuwa na uzito mkubwa kuliko angesema mtu mwingine wa kawaida
Gsm wanamuogopa manara wanajua wakimchinjia baharini ataitisha press na kuanza kuwaanika km alivyomfanyia mo dewji.
Inakuwa kama ile hadithi ' nani wa kumfunga paka kengele? Wanakosa ujasiri wa kumwambia hahitajiki yanga
Na tokea arudi hana alichoongeza zaidi ya drama tu!
Hili ndio mnalijua leo? Binafsi mi naelewa hili suala takribani miaka 15 iliyopita... Ukweli ni huu hapa MZUNGU NDIE MMILIKI WA KEKI YA DUNIA ANACHAGUA AMPE NANI NA KWA WAKATI GANI. Hta hizo nchi za asia ambazo uchumi wake umekuwa kwa kasi ni mzungu alieruhusu hilo litokee na si vinginevyo...
Kwa huu mchanganuo inaonekana una matumizi mabaya sana ya pesa yaani usafiri tu pekee yake unatumia elfu kumi kwa siku!
Na hta io kodi ya nyumba bado ni kubwa sana ukizingatia mnachanga wote
Ushauri wangu tafuta sehemu ambao decent ya hta laki na nusu, usafiri wa kwenda kazini panda daladala...
Hakuna haja ya kumlaumu filbert bayi yeye ni mjasiriamali ameona fursa na ameitumia ipasavyo.....Tanzania kulikuwa hamna miundo mbinu ya michezo ya olimpiki yeye akajiongeza akajenga ingawa ilipaswa serikali ndio ijenge lakini serikali yenyewe ndio hii haiko competent wala hawakuona umuhimu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.