Kuna watu wana roho mbaya sijawaona hivi mtu ukiwambia tu watu wafanye mikutano wanakuiaje kufanya Maendeleo manake sidhani km vyama vya siasa vitafanya kila siku hiyo mikutano...Au wataandamana kila siku
Mbona wame-perfom vizr tu shida ni actually Au nn nini sababu hata kwenye Kiswahili Mkuu wetu hua anarudia rudia hil NENO "Kweli Kweli "....hata shule zetu Za secondary hua kuna Baadhi ya walim hua tunawapachika majina kutokana Na kurudia rudia NENO kila Mara so hakuna shida.
Mim nilisunbuliwa na hao wadudu miez niliweka tu mafuta ya taa had leo sijawaona yapita mwez sasa.Ila dawa ulizoambiwa na member mmja humu n nzur japo zinataka uangaliz Mkubwa.
Mada yako ni nzur ila ungeshaur nini kifanyike.Je n kweli kua serikal ya Magufuli haina ukanda ndani yake..Je unavyosema ukanda haupo Tz.Mfn n ktk Teuz za Rais alizofanya...Sijaona akizingatia balance ya Ukanda..Huenda Magu anataka atoe shukrani zake za uchaguz kwa kupata kura nying kanda ya...
Uwezo WA kufunga anao ..ila uwezo WA kubomoa hiyo anayo?????....asije kua anatafuta key k..S alisema wamekubali kuzungumza Na kujadiliana...Halfu s alisema wamekubali kulipa...Sasa mbona mikwara au Nao wanamchelewasha kufanya maendeleo ..bus aifunge hiyo migod..hii kaul haina tofaut Na aliyoitoa...
Wewe upo Marekan haya ya NCHI hii yaache kula viwela vyako vya pension..Ningefikir ungesema Magufuli anaogopa nini kukosolewa wakat anajigamba kufanya mazur au muulize mikutano ya vyama vya siasa inamuuzuia nini kufanikisha ndoto zake..any way wew huna tofaut na huyo rais ambae sikusikia hata...
Wewe upo Marekan haya ya NCHI hii yaache kula viwela vyako vya pension..Ningefikir ungesema Magufuli anaogopa nini kukosolewa wakat anajigamba kufanya mazur au muulize mikutano ya vyama vya siasa inamuuzuia nini kufanikisha ndoto zake..any way wew huna tofaut na huyo rais ambae sikusikia hata...
Mkuu wa majeshi Jenerali Venance Mabeyo - anatokea kanda ya ziwa [ni Msukuma huyu]
Mkuu wa polisi, Kamanda Sirro - anatokea kanda ya ziwa [muikizu].
Mwanasheria mkuu, George Masaju - anatokea kanda ya ziwa [Mjita].
Mwendesha mashtaka - Biswalo Mganga - [Mjita].
Kaimu Jaji Mkuu - Ibrahimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.