Recent content by Mbwade

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Lowassa unaofanyia Nyehunge, Jimbo la Buchosa Sengerema

    Nyehunge ipo jimbo au Wilaya ipi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Professor Jay (Joseph Haule) amekamatwa na amenyimwa dhamana

    Hiyo kata naifahamu... lkn kilichowasukuma kufanya hivyo ni hal mbaya waliyonayo CCM ktk jimbo la Mikumi...lkn wananchi watawaonesha ya kuwa Mikumi si Mali ya CCM
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    Vp mkutano wa Mwanza unarushwa live na Chanel yoyote
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yamemfika nini Aunty Ezekiel?

    Aunt kama yupo vile....basi wasanii wetu wanahitaji msasa.....yale matusi ni balaa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la Kutisha limetokea ktk msitu wa Sengerema na Geita

    Kama kijana wako ni mmoja wa wahanga wa kadhia hyo...umeenda kutoa taarfa polisi?na wamekupa taarifa zipi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vipi hali ya Jimbo lako, upepo unavumaje?tupeane updates!

    Mbeya Mjini ni Sugu na Lowasa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwezi kupatwa kamilifu alfajiri Jumatatu Septemba 28 (Total Lunar Eclipse)

    Huku Mbeya nmetoka naona giza tu nje...cjui kwa kuwa Magufuli alizomewa!!!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya Mjini: Joseph Mbilinyi CHADEMA, ananguvu kuliko Sambwee Shitambala wa CCM

    Kwa Mbeya Mjini hilo halina ubishi. naishi ktk jimbo hili... Jimbo ni la Sugu!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowasa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tukuyu somo la ufisadi wa Lowassa limeanza kueleweka, vijana wanarudi CCM

    Naona upako wa Mzee wa Upako John Mwambigija umeanza kuwaingia magamba mpaka mnaweweseka!Na mtaweweseka sana tu mwaka huu!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Mbona Makamba hakugusia alyejimilikisha Kiwira kabla ya kunyang'anywa na serkali
  12. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawaaaa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya waapa kumkata Lowassa kwa mara ya pili

    Mm npo Mbeya....ww upo Mbeya ipi?Acha uongo...hapa Mbeya tunakwenda na UKAWA....CCM hawana chao!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nani kasema mpaka uwe na DStv kuangalia EPL nyumbani kwako

    Mm nme download Sybla TV...naangalia mechi nyingi za ligi ya Ulaya,BBC,CNN na Aljazeela.. English service
Back
Top Bottom