Recent content by mbwa mzee

  1. M

    Nafasi za JKT

    mbna hamna msaada
  2. M

    Nafasi za JKT

    Jamani kwa msaada anayejua nafasi za JKT zinatoka lini anisaidie nijue lini zinatoka nataka niingie ndani ya hicho chombo.
  3. M

    Shule nzuri za A - Level kwa Arusha

    kama unataka kufaulu na malezi bora nenda edmund rice
  4. M

    Shule nzuri za A - Level kwa Arusha

    edmund rice sinon secondary.....balaaa sana
  5. M

    Wafanyakazi wa kampuni ya Halotel wasitisha huduma

    mtandao wa halotel una kasi sana acheni majungu intrnet yake hakuna mtandao unaofikia
  6. M

    Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

    achana nao kaka hao wanafiki hao kaka wanatuakfa cjui mtu gaani
  7. M

    Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

    Acha uzembe ww hii siyo dunia ya kuogopana ivo......ww ni mtumwa wwkuwa hiru wacha raisi afanye kazi yake
  8. M

    Nahitaji dawa ya kurefusha uume

    nchi 3 kwa kulala
  9. M

    Nahitaji dawa ya kurefusha uume

    Wadau kwa mwenye wazo anaweza kunisaidia. Nahitaji dawa ya kurefusha Uume kwa anayejua dawa anisaidie jina lake ili tuokoe jahazi.
  10. M

    Nafasi za kazi zaidi ya 600 Uhamiaji

    talent boy unafikiri jw ni palaini kiivo unavosema
  11. M

    Urais 2015, Walimu wamuunga mkono Lowassa

    walimu sisi apa
  12. M

    ALIYESOMA DEGREE YA SCIENCE EDUCATION(CHEM na BIOS ) ANAWEZA KUSOMEA MEDICINE

    Naombeni mnisadie ivi ukishasoma education ya chem na bios ntafanyanye niingie ken koz ya afya haswa doctor of medicine
  13. M

    Nataka kutumia simu shuleni

    ka unataka simu kaa nyumban
Back
Top Bottom