kuangamiza kufyeka chakula kwa makusudi ni laana ya moja kwa moja mnajitafutia
sie tunayoijua maana halisi ya neno njaa tunawasikitikia kwa kitendo cha kishenzi kama hiko
Mbona unacopy kazi ya mtu na hutoi credit kwa muhusika huu uzi nimeuona hapa zaidi ya miaka minne iliyopita
Na aliupost mzee wa kudownload hela sir jeff ontario
Au umeludi kivingine mkuu...???
Kwakweli huyu ni mimi kabisa kabisa
Ktk mijadala yote kijiweni kuanzia kiuchumi kisiasa kijamii na mengine mengi wanaaminigi mimi ndio final say
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nna wanangu hao kila kitu watakuja kunichukilia maelezo hawana smartphone hawapo active sana na yanayoendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.