Majina ya Wahuni

Majina ya Wahuni

Wananita waiti wengne tolu japo ckubaliani nao najijuq mi sio muhuni ila nina muonekano huo
 
Asalaaam aleykum wakuu.
Allah ni mwena ni wekend na sikukuu pia kwa waislaam wote.

Mada hii sawa na kichwa hapo juu.

Nimeishi mitaa mbalimbali hapa nchini, nilichogudua ni kwamba karibia wahuni wote wa zama hizo na zama hizi hitumia majina bandia yanayofanana.

Mfano mdogo tu, anzia hapo mtaani kwenu, mtaa jirani ama muhuni yeyote unae mfahamu, katika wahuni 10 hakosekani mmoja mwenye jina miongoni mwa orodha hii:

1. Dula
2.Roja
3.J4
4.Msodoki
5.Pablo
6 Toshi
7.Tolu
8.Waiti
9.Zungu
10.Kiwi
11.Putini
13.Osama
15. Chidi
16. Bigi
17.Tupaki

Ongesea mengine ..........
mudi, cheupe, cheusi, rama, ommy, mshua, arosto. Papaa, mzushi, side mnyamwezi
 
Duchu
Yosso
Bwilu
Makaveli
Buda
Bob lao
Dizzo
D wa ghetto
Jedda

Haya majina kila nikihama kitaa lazima nilikute moja wapo.
 
"Askari wangu " hili jina Kwa sasa ni la kulitizama Kwa umakini zaidi.Raia hawachelewi kukuunganisha na yule askari wa Wala urojo 😂😂😂
 
Asalaaam aleykum wakuu.
Allah ni mwena ni wekend na sikukuu pia kwa waislaam wote.

Mada hii sawa na kichwa hapo juu.

Nimeishi mitaa mbalimbali hapa nchini, nilichogudua ni kwamba karibia wahuni wote wa zama hizo na zama hizi hitumia majina bandia yanayofanana.

Mfano mdogo tu, anzia hapo mtaani kwenu, mtaa jirani ama muhuni yeyote unae mfahamu, katika wahuni 10 hakosekani mmoja mwenye jina miongoni mwa orodha hii:

1. Dula
2.Roja
3.J4
4.Msodoki
5.Pablo
6 Toshi
7.Tolu
8.Waiti
9.Zungu
10.Kiwi
11.Putini
13.Osama
15. Chidi
16. Bigi
17.Tupaki

Ongesea mengine ..........
Waiti, Msodoki hujakosea mule mule yani 🤣😂
 
1, 7, 8 & 9 hahaha ni best zangu sana

MasterMind ndo balaa kabsaa
 
Back
Top Bottom