Recent content by MBUNICHA

  1. MBUNICHA

    Msaada Application hii ya kuedit picha

    joh hizo zishajaribiwa........#P IXL ,#P .GRID,#P .Art,#P .layer nisha zijaribu hazina hizo Effect.
  2. MBUNICHA

    Msaada Application hii ya kuedit picha

    Ni miezi sasa inapita naitafuta playstore bila mafanikio.Ni app ambayo picha zake common saana insta yaan inazifanya picha ziwe na mwonekano ka zimechorwa hv. bt kwa rang nzuuri. Njeribu ma app mengmeng bt holla mwenye kijua jina nitajie hapa.
  3. MBUNICHA

    For JamiiForums Mobile users

    http://instagram.com/p/xCuKFoRE_w/]CLICKHERE
  4. MBUNICHA

    Naomba msaada tatizo la kupokea Message kwenye Simu

    Shukran kwako khalfan56 Hatimaye nmefanikiwa kuweza kupokea txt.
  5. MBUNICHA

    Naomba msaada tatizo la kupokea Message kwenye Simu

    bosco makoi Njia ya kuzima na kuwasha nishaitumia hata kuchange line 1>2>1 nmejaribu bt bado sms haziingie japo sender wanadai notification ya Ku receive wanazipata.
  6. MBUNICHA

    Naomba msaada tatizo la kupokea Message kwenye Simu

    Niloipata ni apps ya kuchat kwa gmail ila sio ya sms za kawaida........pia hiyo link hapo juu nashindwa kuitumia khalfan56
  7. MBUNICHA

    Naomba msaada tatizo la kupokea Message kwenye Simu

    Mkuu khalfan56 nmejaribu kuitafuta hiyo kitu kwa play store nmeshindwa naomba nitajie jina kabsa.
  8. MBUNICHA

    Naomba msaada tatizo la kupokea Message kwenye Simu

    Shukrani saaana ngoja ni download
  9. MBUNICHA

    Naomba msaada tatizo la kupokea Message kwenye Simu

    Simu yangu haioneshi massage znazoingiaa ila nikituma mimi fresh inaenda kama kawa. Nimecheki setting ziko fresh msg center no. iko vizuri. Nikichange line na kuweka kwenye simu nyingne zinaingiaaa fresh. Had hapa nmeshindwa jinsi ya kufanya coz nmejaribu njia nyingi tatizo liko pale pale...
  10. MBUNICHA

    Naomba msaada jinsi ya kuipata simu yangu bado ipo hewani

    Mwenye ujuzi jins ya kuipata simu yangu Huawei Y210 nahisi nimeidondosha mahali au imeokotwa na mtu alookota hajui chochote coz up 2 now simu iko hewan ila haipokelewi. Hapa nisaidie hata kwa application yoyote inayoweza kunisaidia kuipata simu yangu. Haina Ant theft wala security yoyote zaid...
  11. MBUNICHA

    Hahaha nitajie movie

    Inamaana za bongo hazcheksh naona wa2 mnajfanya waholywood&tolywood......?
  12. MBUNICHA

    Unapomuachia maagizo dada wa kazi

    Naenda kununua yenye ksogo a.k.a D.top nione ataanikeje cku nyngne.
  13. MBUNICHA

    Tupia misamiati mipya(MICHAPIO)a.k.a KUCHAPIA

    kasumbari>kachumbari umeshaka2 meumbuka> umekaa kama umeumbuka.
  14. MBUNICHA

    Kipi kitakuuma kati ya hivi..

    #draaaaa umetsha mbaaya mkubwaa. No.13 itaniuma xana bt no.15 itakatsha ndoto zangu yote za kucheza ulaya.
Back
Top Bottom