UTAPELI KUPITIA TIGO/MPESA
hivi ni kweli serikali haiwezi kudhibiti hili?hivi ni kweli MTU hawezi kuripoti namba iliyomfanyia utapeli ikazuwiwa?au tatizo wananchi hawajuwi jinsi ya kufanya?na kwa nini tigo/mpesa haandiki wakala wa kuchukulia wa pesa
Hili suala la vyeti kungekuwa na grade.mtu kafoji vyeti vya form 4 au 6.halafu akasomea udaktari au ualimu miaka 4au engineer n.akafanya kazi miaka 15.au zaidi na mwingine hajasoma hata mwaka mmoja Lkn na vyeti hivyo bila ujuzi wowote wako sawa?hatuoni hawa wazoefu watachukuliwa na sekta binafsi...
Ndugu watanzania, huyu mtoto Subira anasumbuliwa na ugonjwa mbaya, hali inayomfanya asiweze kula chochote zaidi ya mafuta na sukari robo, kibaya zaidi analelewa na mama tu baba alifariki, mama hana uwezo wa kumpeleka hospitali.
Najua wapo wasamaria wema na wana uwezo wa kusaidia, akikosa...
Naongelea uingereza nimekupa data, njooni mujaribu, Korea ya kusini nina mashaka.wafilipino wako karibu sana na hapo Lkn wanaenda uarabuni kufanya kazi.uarabuni ni zaidi ya kilomita 6000 hapo Korea kusini si zaidi km 2000.uarabuni wafilipino wanalipwa si zaid us dollar 500 kwa mwezi kwa nn...
Think twice
Mshahara pound 250 kwa wiki
Eeeh Bwana pesa kibaaao yaani laki Saba na nusu kila wiki!!!!
Kwa mwezi million 3 waooooh.
Miaka kumi millioni 30.
Hebu njoo kwenye ukweli kidogo
Kodi ya nyumba pound 50 kwa wiki
Council tax pound 20
Simu pound 5
Chakula kimasikini pound 20
Basi kwenda na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.