H
Huwezi elewe wewe, kuna hao Tigo na bustisha yao. Walikata mkopo wao wakabakisha deni la 0.02tsh, kujaribu kulipo hiyo 0.02 ikakataa. Baada ya siku 5 wakakata 338tsh wakasema nimalizie mkopo uliobaki wa tsh 0.02 kuepuka riba wakati salio lilikuawepo la kutosha kwanini hawakukata mkopo wote...
Kwa hili TANESCO pokeeni maua yangu.
Nilitoa taarifa ya tatizo la token za umeme kutoingia kwenye mita yangu mnamo tarehe 04/06 saa 7:26 jioni. Kufikia saa 11:55 usiku fundi wenu alifika nyumbani na kugundua kwamba mita yangu MBOVU. Aliahidi kulitolea taarifa swala langu ofisini ili...
Gharama ya kisima bado iko chini sana, sababu kwa ujazo huo wa 1,000,000lt (1000cub mt) unahitaji tank lenye urefu wa 30mt upana wa 15mt na kina cha 2.3mt.
Ujenzi wa tank lenye vipimo hivyo unahitaji zaidi ya 130cbm za zege ambazo kila moja si chini ya 200k. Utahitaji zaidi ya tani5 za nondo...
Standard ratio ya kujenga tofali ni 1:3 hiyo ni sawa na ndoo 6 za mchanga kwa mfuko mmoja [ujazo wa mfuko mmoja wa cement ni sawa na ndoo 2 za lita 20] mchanganyiko huo unaweza jenga tofali 50 za kulala na tofali 70 za kusimama kwa mfuko mmoja. Lakini hiyo inaweza kufikiwa ikiwa tu fundi ataweka...
Kwa upande wa paa estimated materials na cost ni kama ifuatavyo:
-Bati 90 zenye urefu wa 3mt @28500 (this is according to your choiece i.e 28g araf)
-Mbao: Treated
4*2-110pcs za urefu wa>20ft
2*2-60pcs pia za urefu wa 20ft
1*8/10-18pcs zenye urefu wa 12ft
NB: futi 1 ya 4*2 ni 980, 2*2 ni 480...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.