Recent content by Mbulajee

  1. Mbulajee

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wakandamizaji wa Uhuru wa maoni na kujieleza kwa watu. Hawana tofauti na CCM

    Mwanazuoni kama wewe ilitakiwa uwe unajua kutofautisha CHADEMA na wanachadema, na washabiki wengineo. Mambo yanafanywa na mashabiki ila unakuja kuchambua taasisi. Tukiingia kwenye suala la salamu za rambirambi ni kweli ni hiyari ya mtu, lakini kufanya personification ili kuelezea hisia zako...
  2. Mbulajee

    JamiiForums Tanzania Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

    Tuchukue haya uliyoandika kwamba yote ni sahihi na sawa tumeona kwamba matatizo yote kayaleta yeye. Yanaondokaje sasa maana yeye alishakufa na katuachia/katuacha. Tuendelee kumlaumu hadi mwaka 2100 au njia ya kuchomoka ni ipi? Hilo ndilo la msingi kwa sasa.
  3. Mbulajee

    JamiiForums Tanzania Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

    Ukiona umefikishwa mahali na ukaendelea kubaki hapo manaake wewe ndiye umekubali na umependa uwe hapo. Alikutoa huko akakufikisha hapo, yeye maono na jukumu lake lishaisha na ashasepa zake, sasa kutoka hapo sisi/wewe mwenyewe upambanie kwenda unapotaka kufika Itakuwa ngumu kutatua matatizo...
  4. Mbulajee

    JamiiForums Tanzania Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

    Asante kwa kuelewa. Hilo ndio swali ambalo inatakiwa tujiulize badala ya kuanza kumlaumu nyerere ambaye amefanya mengi mazuri kwa namna aliyoona inafaa. Sisi sasa tuboreshe zaidi panapohitajika. Mimi, wewe na yule tujiulize tumefanya au tunafanya au tufanye nini ili kuhakikisha kunakuwa na...
  5. Mbulajee

    JamiiForums Tanzania Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

    Mjukuu mpumbavu humlaumu babu yake kwa umasikini alionao na kuukumbatia huyu mjukuu katika maisha yake. Badala ya kuchukua hatua ya kujinasua. Hii mindset ya kumtupia mtu lawama kwa kushindwa kwako kutimiza wajibu wako inafaa kupigwa vita. Au unaweza sema misingi ipi imara ambayo ulihitaji...
  6. Mbulajee

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kusini mwa Tanzania wako wapi kwenye hii nchi?

    Coverage tu imekuwa ndogo ila ukifuatilia nao wamo. HUwezi taja wazalishaji wa mahindi nchini ukaiacha Ruvuma. Ukizungumzia korosho Lindi na Mtwara hazikosekani. Kwenye Siasa Kuna huyo PM, Naibu waziri wa fedha, Mama kikwete, Late mbunge bwana Bwege(kwa jina maarufu) na wengine kibao. Kuna...
  7. Mbulajee

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Kwanini wengi hutafuta ithibati ya uwepo wa mungu kwa kutazama uwepo wa mateso na karaha mbalimbali tu na sio starehe na mambo yafurahishayo? Hicho kitendo cha kuchukia na kuyakataa mateso manaake akili yako ipo vizuri, sasa badala ya kuanza kuuliza kwanini Mungu, basi zama deep kwenye akili...
  8. Mbulajee

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyewadanganya wakulima kuwa mazao yakiwa mengi lazima bei ishuke?

    Tuliopo ground tunaona, kwahiyo wakulima hatudanganywi bali tunajionea inavyokuwa. Mpunga muda wa mavuno unakuwa 80k hadi 90 kwa gunia. Ila ikifika kuanzia miezi kadhaa hupanda hadi 120k, nakuendelea. Nyanya zikijaa sokoni bei ya sanduku au tenga hupungua, hata kwa mangi nyanya za jero...
  9. Mbulajee

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua Watanganyika ni wepesi mno kudanganyika na Chama kile wameshawajua walivyo wasahalifu na kuwachezea tuendelee kusukuma gari tukiwa ndani

    Kama nayeye anautupa mpira kwa wananchi japokuwa ni inchaji basi ni kweli inapaswa ibadilishwe, inathibitisha uwepo wa pengo kubwa endapo kutahitajika uwajibikaji wa hao mainchaji.
  10. Mbulajee

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua Watanganyika ni wepesi mno kudanganyika na Chama kile wameshawajua walivyo wasahalifu na kuwachezea tuendelee kusukuma gari tukiwa ndani

    Kilichomkuta kimemkuta lakini kuna jambo alisaidia kuonesha wapi panavuja, inaweza chukua muda ila juhudi zake zitazaa matokeo.
  11. Mbulajee

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua Watanganyika ni wepesi mno kudanganyika na Chama kile wameshawajua walivyo wasahalifu na kuwachezea tuendelee kusukuma gari tukiwa ndani

    Divai mpya kwenye kiriba cha zamani bado inabaki kuwa ni divai mpya, na hata ukiweka kwenye chupa ya maji itabaki kuwa divai. Kwahiyo inatazamwa ladha na sio container.
  12. Mbulajee

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua Watanganyika ni wepesi mno kudanganyika na Chama kile wameshawajua walivyo wasahalifu na kuwachezea tuendelee kusukuma gari tukiwa ndani

    Gari bovu ili lisukumwe na kuwaka, litaenda kwa urahisi zoezi hilo endapo akipatikana mtu mule ndani akasaidia kutoa handbrake na kushika clutch.
  13. Mbulajee

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua Watanganyika ni wepesi mno kudanganyika na Chama kile wameshawajua walivyo wasahalifu na kuwachezea tuendelee kusukuma gari tukiwa ndani

    Ukweli unapaswa kuungwa mkono bila kujali msemaji wa ukweli yupo upande upi. Na hayo ndiyo matumizi sahihi ya akili.
  14. Mbulajee

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Balaam: 95% of DNA Tests found Men were not Biological Fathers

    Hiyo ni kwasababu asilimia kubwa ya wanaoenda kupima huwa tayari imeonekana viashiria vya usaliti na mtoto kutokuwa wa baba kwa asilimia kubwa. Ni sawa na wanaoshitakiwa kwa wizi unakuta 95% watakutwa na hatia ya kuiba, kwasababu hadi kufikia hatua hiyo huwa ni kwenda kuthibitidha tu kisheria...
  15. Mbulajee

    JamiiForums Tanzania Kumficha Baba wa Mtoto lila ugomvi ni uamuzi sahihi au la?

    Ingekuwa wanaume sio muhimu ungejipa mimba mwenyewe, kitendo cha kuuliza swali lenye Malengo ya kumtafuta tayari ni wa muhimu, punguza kujikweza.
Back
Top Bottom