Recent content by mbukwe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali kununua magari aina ya Ashok Leyland zaidi ya 700...

    Tz bingwa wa kusaidia nchi na makampuni yake kukua kiuchumi. Ukiwauliza durability vipi utaambiwa haya mazuri sana lakin after 3 years utayakuta juu ya mawe
  2. M

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI ENGINE YA GARI

    Hela yako tu ila mpya huwezi kupata ni used. 1.5m Ukiwa tayari nichek
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete apanga foleni kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu 2015

    Kisicho kawaida ni nini hapo????
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbuzi tu na si mnyama mwingine?

    Tatizo hapa ni kwa wale wanao amini ushirikina. Chochote atakiwazia kishirikina..akiumwa mafua atasema kalogwa. Akila uchafu akiumwa tumbo na jirani alikuwepo mtu ataamini kalogwa..akisikia jogoo wa jirani kawika saa 7 usiku huyo mchawi.. Akisikia paka kapita mchawi.. Mbuzi ni mbuzi tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuendesha magari Dar sasa ishakua kero

    Nawachukia hawa watu sababu ni wakwamishaji wakubwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dah! Huyu Lowassa huyu wakati mwingine namfikiria sana

    We utakuwa mshirikina Lazima sababu unaabudu hayo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya kisayansi: Lowassa na Sumaye!

    Mi mlutheri ila udini kwenye siasa NOO
  8. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya kisayansi: Lowassa na Sumaye!

    We ni zaidi ya tako..
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nassari: Dalili za serikali iliyochoka na mawaziri waliochoka hii hapa

    Itakuwa imechoka kweli.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta vifaranga vya kwale kwa ajili ya kufuga.

    Ninao, wanaoanza kutaga sh 15000
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada, kwanini mmebadilisha kanga kuwa taulo?

    Jamaa atakuwa anawapigia mahesabu sana, hapo anadai anakerwa ila waweza kuta muda wote yuko dirishani aone wakitoka
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada, kwanini mmebadilisha kanga kuwa taulo?

    Tuambie
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dawa za asili za kuongeza mbegu za kiume

    HERE ARE SOME OF THE HEALTH BENEFITS OF EATING QUAIL EGGS FOR ALL AGE GROUPS 1. Source of vitamins A, B1, B2, B6, B12 and vitamin D. Plus iron, magnesium, zinc and copper. 2. Helps acquires strong immune system and improve metabolism 3. Helps in healing gastritis and ulcers 4. Increase...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dawa za asili za kuongeza mbegu za kiume

    Mayai ya Kware ni dawa ya vitu vingi pamoja na hilo pia. Nitafute ukiyahitaji 0713 226701
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Back
Top Bottom