Recent content by mbukaka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Miaka Miwili ya Ubunge: Kasi ya Nassari Arumeru yawachanganya CCM

    hongera saana mh Nassary
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika na kashfa ya IPTL

    huyu mama kweli ni mzugo kwa jamii na bunge pia..tena yupo kimaslahi duuu hamna kitu pale hizo ndioooo sijui zitatufikisha wapi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuvua pichu pasipo kupenda

    hahaha .ana mzimu huyu..mwanaume gani umsumbue akuandalie sehemu alafu et sivui chup hakuna malaya kama wewe pumbafu na maswali yako yasio na mbele wala nyuma kama wewe.busheet
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini?

    yaaani ant mwenzio anakuona kama maharage ya mbeya..hivyo kama ulichukua maamuz ya kutoka ni vizuri jipange upya..maana anakuzeesha bure halafu ampendaye yupo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Du nilijua nimeua

    acha umalaya kaka utakufa...furaha ni ya dakika tu ila ina majuto ya miaka
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hata sijamtongoza

    kwa nin sasa wewe hukumwambia ukweli alipokupigia simu hata wewe unampenda..epuka michepuko ndugu kuwa mkweli..
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    nashukuru sana prince
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wenye meno ya rangi walalamikia kukimbiwa na wapenzi

    sio arusha tu ni pamoja na sanya juu au wilaya ya hai utawakuta wasiha,singida ,moshi ni sehemu chache wanaopakana na odi mohi,chekereni nk..kwa kweli sio wanawake tu hata wanaume .unaona mtu anaongea na wewe anakutazama mdomoni tu, ila jamani maana mmejua tatizo nini huna haja ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    jamani tabia ya mtu sio urefu wala ufup unaweza ukawa na huyo mrefu ukaja ukalalamika tena hapa jf cha msingi na cha sekondari mshirikidhe Mungu unapoingia kwenye mahusiano..
  10. M

    JamiiForums Tanzania JamiiForums imenipatia mke mwema

    hii ni ndoto..mtandao ukupe mke au mume duu !! kuja kulaumiana tu!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    . Natafuta kazi ya kuuza duka la dawa. Ninauzoefu wa miaka zaid ya 5 pia nimzoefu wa kutumia computer Piga 0752504213 kwa mawasiliano.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nani anayemtisha JK kiasi hiki?

    serikali yake aliiunda mno kirafik sasa akajikuta watuhumiwa ni walewale rafiki zake na matajiri waiongozayo serikali..akakosa pumzi ya kuongea.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyerere hakujiita Mheshimiwa?

    kwa nyerere uheshimiwa ulikuwa ni kuchapa kaz kwa kwenda mbele ..kiongozi akiwa ndiye mfano wa ufanyaji kazi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mdada amwaga chozi, imeniumiza moyo sana

    kauli nyingine sio za hivi hvi tu pengine anamtaka huyo dada lakin anamkataa kwa sababu kwa harka haraka hamhusu hata akifikia umri wa uzee
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje niweze kumsahau? Please advise

    hapana usikudhubutu kabisa kurudia matapishi kwani hulka ya mtu haibadiliki na sasa atakukata hiyo shingo maana umesha mwambia una mwanaume naye kahamisha ule upendo kwako yupo na mwanamke mwingine sasa wewe unarud uende wapi ..umaut unakunyemelea hayo mapenzi yako yakizamani sana...
Back
Top Bottom