Recent content by mbugu91

  1. mbugu91

    Nani atajitokeza kunisaidia nipo taabani,

    Write your reply...@wakorinto, wengi wanatafuta kasoro ktk andko langu ili nionekane muongo. MIM NIMESEMA NIMEKOPA MIMI LAKINI ALINIDHAMINI MTU.
  2. mbugu91

    Nani atajitokeza kunisaidia nipo taabani,

    Write your reply...@kilwakivinje hata elfu kumi ni kubwa unapokuwa hauna na unadaiwa kwa pupa.
  3. mbugu91

    Nani atajitokeza kunisaidia nipo taabani,

    Mshana Jr thanks kwa ushauri mzuri.
  4. mbugu91

    Nani atajitokeza kunisaidia nipo taabani,

    Unaweza kuona na uongo kwa mtazamo wako,ila kiukweli im in trouble. nashukuru kwa ushauri pia
  5. mbugu91

    Nani atajitokeza kunisaidia nipo taabani,

    Ilikuwa pesa ya riba nilikuwa na mdhamini tu anayenifahamu vzur sikuweka k2 chochote zamana sasa nimeeleza halihalisi naonekana tapeli. HALI NI MBAYA
  6. mbugu91

    Nani atajitokeza kunisaidia nipo taabani,

    Nina deni la milioni moja na nusu niliyokopa kwa ajili ya kufanya biasha,pesa hiyo nimepata hasara na sijui pakuitoa. Aliyenikopesha anadai kwa nguvu zote,amesema ikifika januari 5 tunaenda police. natamani hata kujiua kwani sina amani,raha na furaha. naishi maisha magumu yasiyo na muelekeo...
  7. mbugu91

    Serikali kulipa madai ya Watumishi wa Umma, yatalipwa February pamoja na mshahara! Soma hapa majina..

    Madeni yapi hasa,likizo hazilipwi,waliohamishwa hawalipwi, madeni yapi hayo unajivunia hapa
  8. mbugu91

    Shaka awalipua BAVICHA, asema siasa za maji taka zimepitwa na wakati

    Huyu sinilipata taarifa kuwa wanampumulia kisogoni?????
  9. mbugu91

    Mshahara wa Disemba 2017

    Kwa baadhi NMB tayari
  10. mbugu91

    Awamu hii Mawaziri Wengi hasa Vijana wamehamishia Ofisi zao Tweeter. Wanaondolea Stress Huko

    Hakuna asiyechoka na huu utawala wanavumilia tu
  11. mbugu91

    Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge ina Maswali magumu ya kujibu

    Hapo kwenye CCTV na walinzi wa mageti tu tukivipata tayar kazi imekwisha!
Back
Top Bottom