Recent content by mbufi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kingunge aonya kuhusu Muungano

    Mmzee huyu kazeeka mno inabidi akakae makumbusho ya taifa kwaajili ya vizazi vijavyo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini umejinyonga? Nimeumia sana lakini sina la kufanya, kwa heri GOODLUCK COSMAS SHAYO

    Visa vya mapenzi na UKIMWI ndo unafanya watu kujinyonga sana. Simlaumu sana kwasababu hata mimi nilikaribia kujiua mara baada ya my mume kuleta UKIMWI nyumbani lakin sasahivi safi na ARV'S zangu maisha yanakwenda.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanahabari Iringa wakana kuhongwa na CCM

    wakiongozwa na mnafiki namba 1 Francis Godwin anamtetea sana Lukuvi kwasababu anamsaidia kumjengea nyumba Hili jamaa ndo kanjanja nambar 1
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimesoma na kuhitimu uhasibu kwa ngazi ya cheti

    Yaan wewe na certificate yako etii unaomba kufundisha O level uwezo huo huna labda ungekuwa angalau na A level knowledge ungekuwa umekamilika kwa o level lakin kwa sasa bado sana ubodaboda unakufaa sana tuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kujitolea iringa

    mbunye kwanza mpango wa ajira utakua poa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kujitolea iringa

    kama wewe niwa jinsia ya KE ntakusaidia ni pm
  7. M

    JamiiForums Tanzania nafasi za kujiunga na jkt jwtz

    maisha jeshini hutafurahiya labda uwe iron boy utaishia kupiga kwata wanaspend pesa yako wengine
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msikiti Dodoma waungua

    Oooch Majini siyatakuwa yameungua yote au walifanikiwa kuyatoa..!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je Boxer bm.150 ndo pikipiki yenye nguvu kuliko Toyo? 150?

    kitu boxer
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Mtatiro ndo wale wale wanafiki hanajipya anafikiri hii single yake ndo haitabuma.
  11. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Julius Haule
  12. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anayetakuja Nachingwea jamani shule iko hapahapa katikati ya haka kamji Inaitwa Nambambo me niende Morogoro
  13. M

    JamiiForums Tanzania Aliye tayari tubadilishane vituo vya kufundishia

    pole njoo Lindi bac
  14. M

    JamiiForums Tanzania Udom kinanukaa kesho, vipeperushi vyasambazwa.

    Wapuuzi nyiee mwaka 2010 simlimchangia Kiwete pesa ya kampen ,acheni kulialia hapa
Back
Top Bottom