Recent content by MBU2G

  1. M

    Mohamed Dewji na falsafa ya 'singida yetu inapaa.'

    Unamatatizo kweli!umemuona dewji bungeni lini!au umetumwa?yanayosemwa ni kweli boya haingii mjengoni, yuko kibiashara zaidi,kama we umemuona basi hilo ni bunge la wafanya biashara.mnaetaka kumbadilisha na kapuya poa mchukueni bila hata kumtoa kapuya,mtampewa bure maana ni mzigo wa m------,watu...
  2. M

    HI!

    nimejipanga kifikra kua pamoja nanyi 2lisongeshe maana nawakubali,nikaribisheni wana jf.
  3. M

    CHADEMA yakimbiwa Kilosa

    Nyani akivaa suti kali akaingia kwenye kundi la binadamu hata akijikaza vipi hataweza maana itakua vigumu kuiga kila kitu ambacho si asili yake,watu wakifurahi watacheka na kupiga makofi wakati yeye atapiga kelele na kutikisa mkia wakati kauficha kwenye suti!atahis kagundulika na ataondoka...
  4. M

    Kwa hili la mgomo wa madaktari, JK hatutokusamehe!

    Ni kweli ndugu,Damu za watanzania waliopoteza uhai kwa kukosa huduma zitawalilia na upanga utakua juu yao.
  5. M

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Acpokua rais anaweza akafa kwa presha,kwanza atadharaulika zaidi ya sasa maana nguvu anayoionyesha juu ya hili na kubwa mno,pili atahic kua wabaya wake wamemzidi kete na ataona kahujumiwa hata kama sio,kwa maana hiyo mwakiembelizing au kolimbalizing zitaweza kuongezeka na hata rais atakaekua...
  6. M

    ITV - Kipima joto: Watanzania kuwa watu wa kulalamika kila jambo je nini kifanyike?

    magamba watasema anachagua cm za kuwaandama.
Back
Top Bottom