Habari waungwana.
Kwa wale mnaoikumbuka Diamond Sound, ambapo makao yao makuu yalikuwa Mwenge Pale Silent Inn Club.
Tafadhali kwa Mwenye Nyimbo zao naomba tupia humu,
Nyimbo zao ninazokumbuka ni kama:-
Kimalumalu.
Chance.
Neema.
Sebene.
Na nyinginezo.
Tafadhalini wakubwa, mwenye ngoma naomba...