Recent content by mboromi lade

  1. mboromi lade

    JamiiForums Tanzania Funzo kwa wote tunaopuuza wanaume wanaotupenda

    Well said Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mboromi lade

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Mmmmhh mi nasoma kesho nina Mtihani nazani stress inanihusu. Maisha ya chuo walisema bata ila sio kwa course za afya. course za afya hazijawahi muacha mtu salama. Nipo hapa napambana na hali yangu. Maombi yenu wakuu nifanye vyema. Bachelor in Nursing . God bless my career. Amina. Sent using...
  3. mboromi lade

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unajuaje umegusa kizazi/yai la mwanamke wakati wa kujamiiana?

    Asee huwezi kugusa mayai ya mwanamke hata uwe na mkuyenge mrefu kiasi gani. kwa Anatomy ya mwili wa mwanamke ni kwamba ukiwa na mkuyenge mrefu sana utaishia kugusa cervix, yaani shingo ya uzazi. Tusidanganyane mayai kutoka kwenye ovary huwa yanaachiwa na kuingia kwenye mirija fallopian...
  4. mboromi lade

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    ngoja nijaribu kama nitaweza Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mboromi lade

    JamiiForums Tanzania Bisha usibishe ndo hivo

    First to reply
  6. mboromi lade

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    kisha andika bila kuacha nafasi kwa neno la kwanza. Kwenye yeyote weka rangi unayotaka mf red, blue, etc
  7. mboromi lade

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    Hayo maneno yanapaswa kuwa nje ya mabano mkuu
  8. mboromi lade

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    Kwa jamii forum ukitaka kubold weka mabano haya [k] kisha Hiyo Hiyo k weka b kisha bila kuacha nafasi andika neno la kwanza mengine yanayofuata yata be bolded
  9. mboromi lade

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wasikilizaji na wapenzi watazamaji....

    First to reply
  10. mboromi lade

    JamiiForums Tanzania Wanaume nawapa siri kuhusu usafi wa mwili wa mwanamke wako!

    haa haaa miss Natafuta umenichekesha kweli[emoji1] [emoji2] [emoji28] [emoji36] [emoji36]
  11. mboromi lade

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    hakuna namna ni lazima tuelewe tu [[red]Asanteni
  12. mboromi lade

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    Tusaidieni kutuelekeza tena
  13. mboromi lade

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi shule ya msingi kuwalimia waalimu mashamba yao.

    kwakweli binafsi pia nimelima sana na iliniuma sana . Ila kwa ulimwengu wa sasa walimu wanatakiwa kubadilika kwakweli sio kwa mateso hayo kws wanafunzi .
  14. mboromi lade

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    bado somo halijaeleweka naona
  15. mboromi lade

    JamiiForums Tanzania Kwanini konokono akimwagiwa chumvi anayeyuka?

    Kweli haenezi magonjwa huyo ni host mzuri wa magonjwa ya kichocho
Back
Top Bottom