Recent content by Mbongu

  1. M

    Serikali inapuuza: Mabinti wa kitanzania wanaojiuza Delhi - Miss Pwani naye ajilipua mitaani...

    siyo jibu zuri, hebu fikiri kama ni mwanao ungesema hivi? Siyo kila kila kitu kifanyike kwa ajili ya pesa. Tujali utu na maadili pia
  2. M

    Israel yamzawadia Mwalimu Mwakasege kwa huduma yake

    Hivi upo UBALOZI WA ISRAELI nchini?
  3. M

    Kwa hii nyomi ya UKAWA, lazima Nape apate kiwewe

    Ccm lazima waweweseke hasa baada ya kuona umoja wa vyama vya upinzani. Hii ina maana moja kwamba upinzani unakua na kuna uwezekano mkubwa wa kukiondoa madarakani chama tawala. Hata hivyo ccm inaishi kwa nguvu ya dola tu.
  4. M

    Ndoa ya mama PHD na baba standard seven

    Msingi mkubwa wa ndoa ni upendo; ambao ndani yake kuna kuheshimiana, kuaminiana, kusaidiana nk. Hii inakuwa rahisi zaidi iwapo wahusika wanalingana au wanaendana kwa mambo mengi ya msingi kutokana na mila na desturi zao, kwa mfano umri, mila na desturi, kipato, elimu, dini, nk. Katika mila za...
  5. M

    Gazeti la uhuru laumbuka, ni kuandika uongo wa Mawaziri mzigo..picha

    Tanzania Daima ni gazeti ni gazeti makini sana. Huwezi kulilinganisha na gazeti la uhuru au jambo leo...
  6. M

    Nafundisha muziki kwa nadharia na vitendo

    nimesomea kabisa -Royal Board of Music..(Kenya) nadharia (grade 6) na vitendo pia. Nimewahi kuwafundisha vijana fani ya muziki katika sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja na uimbaji(kwaya)
  7. M

    Mwigulu Nchemba: Hakuna tofauti ya hesabu kati ya mamlaka mbili (TRA na EWURA)

    Huyu Mwigulu sijui anajiona nani? Lakini akumbuke kuwa damu ya mtu haiendi bure. Kuna kitu kinaitwa karmic law. Ukifanya mema basi utalipwa mara dufu na ukifanya mabaya ni hivyo hivyo. Hii ni kweli kabisa. Mwisho wa ubaya wote huu ambao serikali inaufanya kwa kupitia Mwigulu, itakuwa ni laana...
  8. M

    Nafundisha muziki kwa nadharia na vitendo

    Kufanya kazi studio sijawahi, naweza kujaribu kwani niliwahi kufundisha kwenye bendi (brass band/ jazz band) za wanafunzi kwa hiyo najua kidogo mpangilio wa sauti
  9. M

    Nafundisha muziki kwa nadharia na vitendo

    Ni mara yangu ya kwanza kuwa janvini, Nafundisha muziki baada ya saa za kazi. Nafundisha nadharia na vitendo. Nafundisha ala zifuatazo; piano, guitar, saxaphone...bei ni maelewano ingawa naangalia umbali, usafiri nk. Sehemu ambazo naweza kufika kwa urahisi ni katikati ya jiji(dsm)...
Back
Top Bottom