Viongozi wa dini hızı za kuletewa wana matatizo sana ya uelewa, Serikali inabidi kukamata viongozi wa hızı dini na kuwapa adhabu kali kwani wanalazimisha wananchi wao kuwa wajinga.
Hata mimi sikumaanisha Kuruthumu na ndiyo maana nimesema ukimuondoa Kuruthumu. Watanzania bado tuna ujinga mno, mtu unaandika a simple thing anakuja mtu asiyeenda shule kuja kuandika kitu tofauti na kilichoandikwa. Rudi shule dogo, achana na Madrasat.
Wanawake wa namna hii ni wa kuogopa sana, wanataka mwanamme mpole wakati wao wenyewe walishacheza na maisha huko nyuma, usikute hapo mgahawani karibia kila mteja alishamla na kumkojolea watakavyo. Sasa kachoka anataka azae na mwanamme zwazwa ama mlokole.
Ukimuondoa Kuruthumu, hao vijana hawafai kabisa na ndiyo maana Magufuli aliwatimua mapema maana ni useless katika hili taifa letu. Mama akahisi walionewa kutemwa, kawarudisha na sasa wanamtafuna huku akijiona.
Kwa kweli Watanzania wana matatizo ya uelewa na akili, hivi tangia lini wasemaji wakawa na mafanikio ya timu? Kuna msemaji yeyote anayefanya timu iwe na mafanikio uwanjani au nini kazi ya msemaji wa timu? Hawa ndiyo wanaomuona Manara kuwa Mungu wao na ndiyo maana anawachezea akili kila kukicha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.