Recent content by Mbondijr

  1. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

    Heche anajua kuwakabia kwa juu hi ndo ile gegen pressing ya klopp
  2. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Watu wengi sana wanatamani biashara ya madini wanapowaona matajiri lakini wanafichwa mengi, hii ni biashara katili sana

    Mkuu kabisa Kama hujawai kuwa mwana apolo huwezi kuelewa kabisa hizi Mambo za ndumba
  3. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa uingiza CHADEMA kwenye maridhiano feki kwa kumtengenezea kashfa feki ya kifedha John Heche umebuma kabla haujaanza!

    Lazima Waite maji mma huyu heche yafaa apewe ulinzi Mana sio kwa anavo wqkabiaa kwa juu
  4. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Chadema Morogoro asimamishwa uongozi

    Kazi nzuri
  5. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Wazungu Wana-support Anarchy politics Africa ili nchi zishindwe kujenga uchumi wao Kuna vyama vya siasa vinapewa hela nyingi kuharibu amani za Nchi

    Acha uzwazwa tendeni haki muone kuna atakae ongea au unashupaza shingo
  6. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote

    Naona dawa ilishaanza kuingia
  7. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kuumizwa Kama Mimi?

    Wakuu tunaendelea lakini mtanisamehe na hayo malalamikko yenu ukweli nilikimbia umande siwezi zaidi ya hapo. Tunaendelea Sasa baada ya kuanza safari usiku ule nikama nilikuwa na gundu, Mana baada ya kufika...
  8. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kuumizwa Kama Mimi?

    Aisee yamenikuta nikahisi nipo kwenye njozi ni wiki mbili tu lakini nilikonda kiasi ambacho hata upepo kidogo ukija napepesuka Kiufupi siku moja nimelala usiku naskia simu vuuu, vuuu, vuuu nilikuwa nimeweka vibration kuangalia mama ndio alikuwa anapiga ile kupokea tu hakuna salamu Wala Nini...
  9. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wizara ya Kilimo tuambieni wakulima kuwa Tanzania hakuna mbolea tujue moja ila sio kwa mateso haya

    Mkuu wapi huko gunia 52k wakati huku nilipo linasoma 75_80k
  10. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuendelea na masomo kwa sababu ya Aviator

    Bado ujachemaa
  11. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Mnahangaika sana kwenda sijui kwa Waganga wa Kienyeji, kufanya Makafara na kwa Wahubiri Matapeli, fanya yafuatayo utabarikiwa hadi kuja Kunishukuru JF

    Mkuu leo umeongea madini matupu ,aisee kumbe nzi akiachaga ujinga anatengeneza asali
  12. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    Kwa ambao hamjakaa sehemu za machimbo ni rahisi kubeza mm kwa ushuhuda wangu wa macho ya nyama nimeshuhudia watu wanaokota pisi ya mll 150,300 na mtu hajui kusoma Wala kuandika kwaio mll 500 sehemu za machimbo sio ajabu
  13. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    Mkuu huyo jamaa yuko sawa ww ndo hujamwelewa sehemu za machimbo ukikutana na mali watu huita zali la mentali mfano mdogo mm nilikutana na zali la chenga ya mill 7 duniani hapo ni baada ya kuchapika chini huko lakini nikapatia duniani
  14. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Kama unaona mimi ni bahili sana kwenye kutumia pesa zangu, nipe zako ntumie unavotaka

    Aise unakuta mtu anashupaza shingo kabisa jamaa bahili huyu lakini haangalii msoto wako kuwa hela unapataje au unamipango gani
Back
Top Bottom