Tulia wewe kawafate hao wanadaiwa Kofi uwaambie ,wacha sisi tuchange ,mbona inakuuma Sana,hawahitaji ata 10 yako afu si lazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tulia hao CCM toka 1961 wanajinasibu matajiri bado wanaombaomba misaada wacha muone shoo ya nguvuya Uma,wivu tu unawasumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Saga tangawizi changanya na ndizi au parachichi paka kwenye ngozi ya kichwa kaa nayo kwa muda wa nusu saa osha kichwa chako.
NB: husipake tangawiz bila kuchanganya na tunda mojawapo hapo itakusababishia maumivu.
Wadau habari, nahitaj kufanya biashara ya modern jeans za kike na simple za kike vyenye quality nzur, naomba kufahamishwa chimbo zur kwa kariakoo juu ya hiz bidhaa..
Tabora fata tu kilichokupeleka.... Ukimwi na typhoid vinasumbua.... Na zaid usizoee mabint wa kinyamwez ukizan utawatumia tu usepe hakuna utang'ang'aniwa kiasi cha kusahau kwenu.... Ushirikina ni kipaumbele mkoa ule....
Ila ni wakalimu sana kama ndugu zao wasukuma......... Kuna chuo cha uhaziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.