Recent content by mbolondito

  1. mbolondito

    Eti huyu ni msukuma?

    Kang'welage noko mabula gangw'amamayo nyanoko noko nogi
  2. mbolondito

    David Kafulila aibwaga serikali

    Hivi ukiwa ukiwa mbunge wa ccm unasimamiwa na mwanasheria kutoka serikalini ila ukiwa upinzani unatafuta mwanasheria wako kwani hii kesi ni juu ya kafulila na tume ya uchaguzi au ni kesi ya kafulila na mgombea wa ccm naomba kusaidiwa wanajamii
  3. mbolondito

    Wakili wa Mama Lwakatare adai mteja wake alitimiza maelekezo ya NEMC

    Mama lwakatare kwa ufahamu wangu hiyo nyumba 1.ipo ndani ya eneo la hifadhi ya bajari,hapa mojakwamoja NEMC wanakuhusu 2.umejenga ndani ya mikoko TFS wanakuhusu kwa vyovyote hukwepi kubomolewa maana hata hivyo lukuvi katamka wote mliowekewa x nyumba zitabomolewa kwanza kesi baadae ukishinda...
  4. mbolondito

    Ama kweli Mungu anajua kuumba jamani!

    Nishamalizana nae ngoja nifue chupi yangu sasa ila mbona wa kawaida tu kama wengine
  5. mbolondito

    Wafanyalazi wa kiwanda cha mazava tunadhurumiwa haki zetu

    Sisi wafanyakazi wa mazava tunalipwa tofauti na malipo halari ya serikali tunanyanyasika kazi ngum kipato kidogo....tunahitaji msaada kutoka wizara husika mtutembelee hata siku moja msikilize kero zetu
Back
Top Bottom