mbolondito
Member
- Dec 30, 2015
- 5
- 3
Sisi wafanyakazi wa mazava tunalipwa tofauti na malipo halari ya serikali tunanyanyasika kazi ngum kipato kidogo....tunahitaji msaada kutoka wizara husika mtutembelee hata siku moja msikilize kero zetu
Hivi siku (day) ni masaa mangapi ya kazi? (ie 7.5hrs or 8hrs) Kuna umuhimu wa kuweka kwa usahihi malipo kwa wale wanaofanya kazi kwa mkataba (contract) ijulikane malipo yao kwa saa moja ni shillingi ngapi. Mfano kima cha chini kwa saa ni shillingi ngapi? Na kadhalika.
21 Century Textiles Ltd (MeTL-Kihonda Viwandani morogoro). Wana shift mbili; shift ya kwanza wanaingia saa mbili asb kutoka saa kumi na moja jioni. Shifti ya pili wanaingia saa kumi na mbili na nusu kutoka ni asubuhi ya saa moja. Malipo ndio hayo ya elfu 3 au elfu 2 na miatano. Hawa wana ajili vibarua kila siku asb kwasababu rate ya wanaoacha kazi kuna mda inakuwa kubwa hivyo wao wana utaratibu wa kuchukua vibarua daily. Hapo calculate masaa ya kazi na hiyo wage wanayoipata