Recent content by Mboko

  1. M

    TRA yazindua kodi ya kitanda kutoka kwa Watalii

    Hii kodi ilikuwepo tunaita Government Leavy na kila Mtalii akilala usiku mmoja analipia USDollar 1.5 sasa sijui hawa viumbe wamepandisha tena au wameshusha kwa ajili ya kuvutia Watalii?
  2. M

    GE2020 Wanawake walioshinda na kushindwa nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu, 2020

    Wewe kweli si mzima kumbe Ubunge ni ajira siku hizi so pale serikali inajivunia imetoa ajira lol kazi kweli kweli
  3. M

    GE2020 Tundu Lissu amekutana na Waandishi wa habari kuelezea mwenendo wa kampeni. Asema Jaribio la kuvuruga Uchaguzi litasababisha watu wapelekwe 'The Hague'

    Mkuu unakwama wapi siku hizi au ndio wajiandaa kuwa karibu upate UDC?Kwani watu wakiuana ndani ya nchi si wanaua nchini kwao jiulize kwa nini wanashitakiwa the Hague?Unajitoa ufahamu mkuu kama hujui ngoja nikuambie unapotea na unapotosha watu ipo wapi Tume Huru ya uchaguzi Tanzania?imechaguliwa...
  4. M

    GE2020 Ziara ya Dkt. Magufuli Kilimanjaro imebeba ajenda za msingi

    Yaani na akili zako zotee ndio umeandika huu UHARO hapa,kwanza nikuulize unaamini katika mfumo wa siasa za vyama vingi?kama kweli haya uyasemayo leo hii Marekani na nchi za Ulaya leo hii zingekuwa nyuma kimaendeleo umeeandika sana lakini ni ZERO nijuavyo mie na uelewa wangu mdogo ni kwamba bila...
  5. M

    GE2020 Nikikumbuka janga la Corona, Watanzania tusipomchagua Dkt. Magufuli bila shaka Mungu atatushughulikia kivingine

    Acha upumbavu Mungu atakuadhibu wewe uaminie katika mtu, Pombe huyu ambae watu wanatekwa na kuuliwa huku yuko kimywa,mtu anae waambia watu wa Kagera yeye hajaleta mafuriko kwa hiyo hatoi msaada wowote huyu mwenye ubaguzi wa hali ya juu ya kupeleka maendeleo kwa upendeleo wa chama chake ndio...
  6. M

    GE2020 Litakuwa ni kosa kubwa kwa Arusha kurudishwa mikononi mwa CCM, msisahau historia ya miaka ya 2010 na kurudi nyuma

    Mnaota mchana kweupe hivi Mrisho Gambo anaweza kumtoa Godbless Lema Arusha kweli lol.Kwa Arusha kwenda CCM chini ya mhuni huyu aitwae Mrisho Gambo hata sijui anatokea Mkoa gani ni ndoto za mchana kweupe
  7. M

    GE2020 Polepole: Kuna mgombea mmoja amekimbia yupo nje ya nchi, ameona maji yamemfika shingoni. CCM tunafanya kampeni za kisayansi

    Hamphrey Pole Pole mwenezi wa CCM acha uongo mchana kweupe hivi unamdanganya nani ya kwamba tangu 2015 mfumuko wa bei haujapanda kweli?Hivi sukari bei ya 2015 na leo ni sawa hebu acha porojo aisee Unasema wenye mishahara midogo wamefutiwa kodi mbona unakuwa muongo hivyo aisee please acha...
  8. M

    GE2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

    Kwa maana hiyo the rest unawajua au?yaani hii nchi ina walemavu wa akili ni wengi
  9. M

    GE2020 Ndugai: Mimi ndio Spika wa Bunge, nawajua Wabunge wote. Hao wapinzani hawajawahi kuwatakia maendeleo watanzania maana wao kila kitu hupinga tu

    Kwani jimbo la Kondoa kabla lilikuwa likiongozwa na Upinzani kiasi kwamba ndio hakuna maji kwa kuwa Wapinzani wamepinga kuwepo maji Kondoa naomba majibu ya nguvu au hoja hai please
  10. M

    Hivi Rais kutotoka nje ya nchi ndiyo Uzalendo? Hatukusema usitoke kabisa bali tulichukia safari zisizo na tija

    Ukishaona hivyo juu huyo mtu akili ishaenda kutokana na yale aliyomfanyia mwenzake damuuuu damuuuu haijawahi mwacha mtu
  11. M

    Mama Salma mgombea wa CCM Jimbo la Mchinga akikuna nazi

    Katika watu wanaojidhalilisha ni huyu mama yaani alikuwa First Lady hajatosheka tu hadi ubunge ni aibu sana.Ati anakuna nazi huu ni uwenda wazimu haki.First Lady ni cheo kikubwa kuliko Ubenge atii lol
  12. M

    Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

    Katika hoja za kipumbavu na ya ajabu ni hii yaani Chama kama Chadema wampigie magoti Rwakatare who is R
  13. M

    Mbunge Lijualikali alia bungeni kwa unyanyasaji anaofanyiwa na Mbowe ajiuzulu ubunge amuomba Ndugai CCM wampokee

    Kuanzia niwe na akili ya kutambua mabaya na mema sijawahi ona Bunge la Kipumbavu kama hili chini ya spika Ndugai
  14. M

    Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

    Uamuzi mzuri sana kweli Chadema ni chama makini sana.Imagine kama Wabunge wa CCM ndio wangeambiwa na mwenyekiti wao msiingie Bungeni mka ji isolate wenyewe majumbani mwenu je wangeonekana wakaidi kama hawa wapumbavu?
  15. M

    CHADEMA bila ya Dkt. Slaa ni sawa na gari bila injini, lazima watalipaki tu

    Huyu Pimbi kajiunga juzi tu ni wakumpuuzia tu,kwani baada ya Dr Slaa kuhamia CCM mwaka 2015 nani Mbunge wa Karatu na ni wa chama gani?Mie nipo Karatu Wairaq wa hapa sio wapumbavu wanaona mbali mbunge wao yupo ni wa Chadema hapa CCM wamenunua sana madiwani na wale madiwani ni njaaa nawafahamu na...
Back
Top Bottom