Kiongozi gani anyejibu hoja kwa mtutu. Kaua, kateka, kababikiza wate kesi, kaumiza na kujeruhi watu, kafisadi kodi zetu kwa miradi ya kifisadi inayomnufaisha yeye na wapambe wakeKumbuka.
"Man without God can not, and God without man will not"
"Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe"
Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida kupitia kiongozi wa kitaifa naamini Mara hii amezungumza na tz nakila mtu bila shaka hakuna ambaye hakumwelewa labda tu kwa wale wanaopinga kila mtu.
Ukijaribu tu kufikiria kama bwana yule angekuwa ndiyo yeye mkuu wa nchi sjui tungekuwa vipi Leo na janga hilo.
Ifike mahali tujue kuwa kuna watu wanakuja kwa wakati na majira sahihi tuwaache watimize makusudi ya Mungu aliyowawekea mioyoni mwao.
Nakumbuka Yesu aliulizwa swali fulani akajibu "Kwa ajili ya haya nalikuja"
Tufike mahala tukubali kuwa kuna watu huja kwa specific issue