Recent content by Mbogo nyeusi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya: Mbowe aliamini kwamba yeye ni mbunge wa kudumu wa Hai na aliona mimi ni kikwazo kwake akaunda kundi la kunidhibiti

    Kwahiyo zile CCTV picture akibeba mabunguruti ya note CRDB mbowe ulikuwa mchongo wa mbowe?dogo anajitetea kijinga sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uchina itaiomba Tanzania (kama bado haijafanya hivyo) iwapatie kituo cha kijeshi (military base)

    Duuh na wewe!!!unafahamu maana ya military base?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tulilalamika ununuzi wa ndege nje ya bajeti, Soko la Kariakoo litajengwa kwa bajeti iliyopitishwa Bungeni?

    Hata nyumba yako ikiporomoka kwa tafsiri ya kupata maafa serikali itakujengea nyumba nyingine,siku zote mfuko wa maafa upo standby kwa dharura yeyote,hivyo soko la kariakoo lilipata maafa kwa maana ya kuungua hivyo litajengwa kwa fedha ya maafa na dharura
  4. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Kutumia Neno "GAIDI" Katika Siasa Zetu ni Kuichafua Nchi.

    Mungu akubariki ndugu Balile, ila watoto wa siro na siro mwenywe hawawezi kukuelewa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuwatumia "Mafundi" badala ya Wahandisi kwenye Ujenzi wa Vituo vya Afya na Shule ni dharau

    Force account haimzuii engineer kuomba kazi,kuna tofauti ya engineer na mkandarasi,mkandarasi siyo engineer, force account inahitajika muombaji aoneshe veti vya chuo alicho Soma na uzoefu wa kujenga majengo ya serikali,fundi mangungo mfumo wa force account hauwezi ukampa kazi hana pesa kulipa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tuliofurahia maumivu ya Sabaya ndio tunaomlilia Mbowe na kuiingilia Mahakama

    Tusubirie ushahidi tuone,walio toa ushahidi kwa sabaya ni viongozi wa CCM na wanachama wake,upinzani walifura vipi ikiwa mshitaki na mashahidi ni Wana ccm?Mlalamikaji wa kesi ya sabaya ni serikali ya ccm, tutapigana mpaka mbowe awe huru msitake kutuchezea mbuzi wakijani nyiee!!!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa UVCCM Kenani Kihongosi akiongea na Wanahabari Agosti 03, 2021

    Itapendeza ikitokea issue ya kisiasa mnyukane kwa namna hii baina ya chama na chama,,huko kusaidiwa na jeshi la polisi semeni hapana ni wakati Sasa jeshi la polisi kukaa pembeni na kuwaacha mnyukane kwa hoja,siyo mmoja unamfunga pingu kuwa ni gaidi na haruhusiwi kufanya mkutano hata wandani nyie...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Mbowe kama gaidi

    Policeccm wanajiaibisha na kuidhalilisha nchi yetu,tuseme hapana na tupinge uonevu huu kwa nguvu zote.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nadharia: Unahisi Mbowe alipanga kumuua kiongozi gani wa Serikali?

    Hao ndio viongozi wa serikali?
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni washindi katika hili

    Nimesikia Mwanza viongozi wa chadema wakiongozwa na freeman Mbowe wamekamatwa saa nane za usiku na jeshi la police, Ukweli ni kwamba jeshi la police na serikali wanashindwa kujua kwa kufanya vile lawama zinaenda kwa mama kuonekana anaendeleza yale tuliyo zoea kwa mwenda zake hivyo kutojitenga...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wanaisoma namba, CCM hoyee!

    Wapinzani wamepandishiwa gharama za mafuta ukiende sheli na kadi ya uanacha wa ccm mafuta utauziwa kwa sh 1700 Kama Zambia. Tozo ya miamala ya CCM haiwahusu wanaccm hiyo ni maalumu kwa wapinzani wanaisoma namba,mwanaccm ukienda kwa wakala ukionesha kadi yako aaah hizo tozo hazikuhusu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mikutano iliyotangazwa kufanyika nchi nzima na Katibu Mkuu CCM siyo mikutano ya hadhara iliyozuiwa na Rais?

    Ni vyema vyama vya upinzani waende mahakamani tuone mahakama itaamua nini kulalamika tu hakusaidii chochote,Kama hawana pesa ya kufungua kesi mahakamani tujulishwe tuchangie
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikutano iliyotangazwa kufanyika nchi nzima na Katibu Mkuu CCM siyo mikutano ya hadhara iliyozuiwa na Rais?

    Najiuliza Kama katibu mkuu CCM ametangaza kufanyika mikutano ya hadhara nchi nzima itakayo fanywa na wabunge, madiwani, wenyeviti wa CCM wilaya,kata,vijiji na mitaa,zuio la Rais lilikuwa linawahusu watu gani? Pia Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM naye anazunguka kiaina kukutana na wananchi na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga na CCM vs CHADEMA

    Ipo hivi Simba ikiwa inacheza na mwadui FC na Simba ikashinda zomea zomea na maneno mengi yatarushwa kwa Yanga ambao hawahusiki na mechi husika ndivyo hivyo hivyo Yanga ikiwa inacheza na lipuli fc na ikashinda tambo zinapelekwa kwa Simba hali kadhalika wakifungwa tambo zinakuwa hivyo hivyo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Mimi ni CHADEMA lakini kwa hili nasema NO, tena Big No

    Ivi nyie kipindi hicho mlikuwa watoto? Chukua rasmu ya warioba ambayo ndio maoni ya wananchi halisi na chukua Katiba pendekezwa Soma between the lines utuambie hazifanani kwa kiasi gani na utuambie kilicho andikwa kwenye Katiba pendekezwa ni nini na walipata hizo baraka wapi? Ni wehu tu na...
Back
Top Bottom