we unatengemea ale nn asipotafuta deal mshahara laki 290000 alafu anafamilia ya watoto wa tatu na mke ungekua ww ungefanyaje hapohapo alipe ada ya shule bado home kwao wanamtegemea hata kama mm ningekua police deal mpango mzima
kwann sisi wenyewe raia tusiongee ili tusifanye fujo mpaka police ndo waje waongee na sisi kwani hao police waga wanakuja kutupiga mabom nyumbani kwetu? japo police wanatumika na viongozi ila sisi raia ndo tumezidi kutumiwa na hao wana siasa uchwala
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.